ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,383
- 118,813
Watajua wenyewe, ni kweli combination ya Partey na Xhaka imekuwa nzuri so far, lakini ana maboko ya kizembe sana, game ingeisha kwa draw lawama zingeangukia kwake leo.Mkuu angalia Kuna team Xhaka humu watakuvagaa vibaya sana, wao Waga hawaoni makosa ya kijana wao mpendwa yanayo igharimu team mara Kwa mara
unayejiita tumeshamsahau kama yupo kwenye squad