Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Michelle, ngoja nikusaidie kushangilia........:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:

Asante dearest .....furaha imegeuka :A S 13::A S 13: baada ya red card...sijui yatakuwa yale kisicho riziki hakiliki......!!!! usiniache leo!!!
 
mwaka jana inter walipita with one man down kazeni buti tu mtapita.....
 
wenzio tulifundishwa kushukuru kwa kila jambo.....wacheze hata wanne.....Arsenal is the best!!

Duuu wewe kweli fun wa Arsenal sawa sawa hamna tatizo...tupo pamoja mpaka mwisho wa game......
 
wanataka na Almunia atoke sasa.....yaani hawa wazee wanga kweli....
 
Unaambiwa tofauti ya mda wa filimbi kupigwa na van persie kupiga mpira ilikuwa 1 second. Refa kaamua kuua.
 
Asante dearest .....furaha imegeuka :A S 13::A S 13: baada ya red card...sijui yatakuwa yale kisicho riziki hakiliki......!!!! usiniache leo!!!

Hata kumi wanaweza kufanya maajabu...so usiogope sana! have confidence in them!
 
Hata kumi wanaweza kufanya maajabu...so usiogope sana! have confidence in them!

Card yako ya uanachama na ushabiki wa kijiwe hiki cha GUNNERS iko njiani. Karibu sana KH kijiweni kwetu.

Back
Top Bottom