Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
kwa ugeni huu wa leo....nafikiri itakuwa ngumu kushinda......!!!!
Me nilisema nitakuwa mgeni rasmi
kwa ugeni huu wa leo....nafikiri itakuwa ngumu kushinda......!!!!
Me nilisema nitakuwa mgeni rasmi
Hiyo defensive game ndiyo imetuadhiri, sasa hivi lazima tu tushambulie kwa nguvu zote na pia kuhakikisha jamaa hawaoni tena nyavu zetu, maana siye draw tu inatutosha kusonga mbele.
Kumbe nasri anakipaji cha kucheza beki 3!!!!!!!!!!!!!!