Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamaa watacheza kama nyuki sasa na AW aachane kabisa na hii defensive game....tunaweza kupata lingine na kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi.
 
dah! supu lishaingia mjusi
avatar_2028.gif


endelea....
 
very unfair red card... really not fair at all, utasikiaje na kelel za washangiliaji??
 
Red card Van Persie could not hear the whistle ... ..... very soft .... ....
 
Mnacheza kumi now....sasa hapo chezeni kwa akili mbele hamna mtu.....
 
Kelele zote za uwanjani mtu ka-control mpira na kupiga unategemea anaweza kujizuia haraka haraka vile.
 
Huyu referee noma kweli...Aaaaaarrrrrrrrgggggghhhhhhh!
 
Brown Envelope!! hahahahaha! apo mtasema kuwa mlifungwa mkiwa one man down. khekheeeee!
 
Back
Top Bottom