Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
mkuu mwaka wenu huu...hapa mtapita tumieni tactic ya mourinho.Dah, maji yeshaanza zidi unga..
mkuu mwaka wenu huu...hapa mtapita tumieni tactic ya mourinho.Dah, maji yeshaanza zidi unga..
Card yako ya uanachama na ushabiki wa kijiwe hiki cha GUNNERS iko njiani. Karibu sana KH kijiweni kwetu.
wakishinda leo kesho nafunga safari ya kwenda Loliondo kutoa mikosi yote ya timu yangu!!!