Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa kama hawakuwahi hata kuomba bei hiyo big talk ya Arsenal kumtaka Maximin au Zaha wewe umeitoa wapi?

Rafiki wa karibu na Zaha alipost video akiwa yeye na Zaha akiwaambia Arsenal wamsajili. Ulisikia Arsenal hata ilijisogeza kwa Crystal?
arsenal walituma ofa ya paun mil 40 kwa zaha wakagoma, wakatak 80

Haya Tuanzie Hapa, kuna back pass ngapi Xhaka amezitoa zikaishia kutugharimu, kina faulo ngapi zikaishia lumpa red card ambazo mwiahowe ikawa gharama kwa yeam na lupoteza au kudroo mchezo husika.

Xhaka ni kama mwezi mchanga, unakupa mwanga kwa wakati furani na baadae kukuacha gizani. Buwezi kumtegemea kama jna harakati za kusaka Ubingwa.

Kesho nikipata nafasi nitakuja na full record za mwamba na matokeo ya kila match yaliishaje baada ya madness zake
hatuhitaji rekodi zako unless uwe na uwezo wa kusajili kiungo mwingine zaidi ya Xhaka aende pale Arsenal
 
Dont expect Saka Smith Row Odeegard Martinelli watakaa 3 seasons wanavumilia hawabebi trophies kwa mpira wa sasa never ever that's why Fabregas Van Persie Nasri Denilson Song Hleb hao ni baadhi wote waliikimbia Arsenal na kwenda kupata Big achievements kwa kubeba trophies ambazo kwa Arsenal hawakuzibeba mind you mpira wa sasa ni pesa tu ndio itoke tena ya maana if you want to achieve something sio pesa za mafungu may be walipwe salary za kujitosheleza for example Bayern Munich Real Madrid Manchester City PSG wanawaambia hao watoto tutakupa salary ya 250 wakati Arsenal anapata 100 au 120 na promise ya kubeba trophies bro msimu wa 3 unafika wanaondoka tunarudi kuanza upya that's football ya sasa hali halisi ndio hiyo

Kuhusu kuzifunga top 3 bro usiongelee West Ham hapa mfano upo hai au nkikuuliza Arsenal vs top teams kwa more than 10 years kuanzia 2011 kashinda mechi ngapi?msimu huu pekee Arsenal kafungwa goli 11 na top 3 na hajafunga hata goli 1 navyosema kipimo cha Arsenal vs top teams ni hii natumai utanielewa Arsenal sio West Ham na Arsenal is the one of the biggest team in the world anastahili kupata results ambazo ni chanya
basi wataondoka tumekubali.
Umefurahi sasa?
 
hatuhitaji rekodi zako unless uwe na uwezo wa kusajili kiungo mwingine zaidi ya Xhaka aende pale Arsenal
Wananzengo mmejaa hasira.

Bwana Mustache hawezi toa pesa kizembe zembe hivi wakati tushampiga kwa dili la Kipepe. Kwa sasa kila pesa atakayotoa atataka uhakika wa marejesho yake. Tupambane na tukubali sisi no wakuendelea kuvumiliana na Mapumgufua ya Bwan KalamaXhaka Wetu. Yeye ndo tuliyenae hatuna nyongeza.

Ushauri wako wa kutoketa detailed record nimeusikia, atakayetaka akafukunyue mwenyewe maktaba akimaliza na kujilidhisha auache huko huko.
 
basi wataondoka tumekubali.
Umefurahi sasa?
Kama ambitions zao sio sawa na za club usitarajie kuendelea kuwaona hapo, miaka mitatu ijayo hawatataka tena kucheza kwa ajili ya pride bali mataji, na wataenda kwenye team zenye nia na mataji.

Mwisho wa uchezaji mchezaji hatawainesha wanae video za wakati akikipiga atataka awaoneshe medali alizoshinda sambamba na hizo video.
 
arsenal walituma ofa ya paun mil 40 kwa zaha wakagoma, wakatak 80

TBF Sijawahi ona kuhusu Arsenal kupeleka ofa kwa Zaha isipokua mara nyingi ikifika dirisha la usajili lazima Zaha atasema anaipenda Arsenal na anataka kuichezea.

Also the reason sikuwazia huu uwezekano ni story iliyopo kati ya United, Zaha na Arsenal ambayo inasababisha Zaha asifuatwe na Arsenal hata iweje.
 
Wananzengo mmejaa hasira.

Bwana Mustache hawezi toa pesa kizembe zembe hivi wakati tushampiga kwa dili la Kipepe. Kwa sasa kila pesa atakayotoa atataka uhakika wa marejesho yake. Tupambane na tukubali sisi no wakuendelea kuvumiliana na Mapumgufua ya Bwan KalamaXhaka Wetu. Yeye ndo tuliyenae hatuna nyongeza.

Ushauri wako wa kutoketa detailed record nimeusikia, atakayetaka akafukunyue mwenyewe maktaba akimaliza na kujilidhisha auache huko huko.
Wenger era Xhaka ndiye mchezaji anayepiga pasi nyingi kuliko wote EPL. Timu yetu yote ilikua morali ipo chini ikapelekea kuna makosa yanafanywa ya kizembe na yaliigharimu timu. Xhaka, Mustafi, Auba, Kola n.k ni waathirika so kumpata Xhaka wa Wenger siyo leo

Kroenke pesa atatoa tu. Self sustaining model inaachwa pole pole. For years Kuna timu zimekua zikinunua wachezaji kwa pesa ya zaidi ya ya Pepe na wanapigwa na hawakomi. Pesa iliyotoka kwa ajili ya CB na GK ni ushahidi wa mabadiliko.
 
Kama ambitions zao sio sawa na za club usitarajie kuendelea kuwaona hapo, miaka mitatu ijayo hawatataka tena kucheza kwa ajili ya pride bali mataji, na wataenda kwenye team zenye nia na mataji.

Mwisho wa uchezaji mchezaji hatawainesha wanae video za wakati akikipiga atataka awaoneshe medali alizoshinda sambamba na hizo video.
Kutokana na kutaka mataji Coutinho akaamua kwenda Barca. Klopp akajitahidi kumzuia ila wapi last resort Klopp akamchezesha Coutinho UCL akitumaini Barca itaghairi as akienda Barca huku alishaiwakilisha Liva hatoruhusiwa kuichezea Barca UCL.

Barca ikakomaa hivyo hivyo.

Klopp akamuambia Coutinho "Stay, I will make you a superstar if you go to Barcelona you will be just another Barcelona player" Coutinho hakuelewa somo akatembea.

Nina uhakika hata jina Coutinho ulilisahau na umelikumbuka baada ya mimi kulitaja hapa.

Same goes to our own Song and his move to Barca, Aaron Ramsey and Juve. Trophies ni tamu but at what cost? Will you be involved? Coz ukiangalia rekodi tutasema ulichukua UCL, ligi ila umeingia uwanjani mara ngapi?

Some players shine kwakua wanaaminiwa na makocha wakipelekwa kwingine wanaonekana mizigo, Adebayor, Grealish. So a youngster au usajili mpya hua anaonyeshwa project na yeye atafit vipi kwenye project, ikienda kinyume na akaamua kuondoka ni haki yake.
 
Mifano ni mingi sana.

Mwisho wa siku unahitaji mataji kwa gharama yeyote ule.
Hleb alienda Barca akiwa bench alinyanua mataji. Atleast anachakuwaobesha wajukuu zake ambao hawakuwahi kumwona akicheza
 
Kama ambitions zao sio sawa na za club usitarajie kuendelea kuwaona hapo, miaka mitatu ijayo hawatataka tena kucheza kwa ajili ya pride bali mataji, na wataenda kwenye team zenye nia na mataji.

Mwisho wa uchezaji mchezaji hatawainesha wanae video za wakati akikipiga atataka awaoneshe medali alizoshinda sambamba na hizo video.
Achana nae huyo Lokonga ana IQ ndogo hajui lolote kuhusu Mpira hawa ndio wale fans mandaz mfuata upepo akiambiwa geuka kulia anageuka move mbele anaenda mimi mtu wa Low IQ kama huyu simjibu kamwe
 
Kutokana na kutaka mataji Coutinho akaamua kwenda Barca. Klopp akajitahidi kumzuia ila wapi last resort Klopp akamchezesha Coutinho UCL akitumaini Barca itaghairi as akienda Barca huku alishaiwakilisha Liva hatoruhusiwa kuichezea Barca UCL.

Barca ikakomaa hivyo hivyo.

Klopp akamuambia Coutinho "Stay, I will make you a superstar if you go to Barcelona you will be just another Barcelona player" Coutinho hakuelewa somo akatembea.

Nina uhakika hata jina Coutinho ulilisahau na umelikumbuka baada ya mimi kulitaja hapa.

Same goes to our own Song and his move to Barca, Aaron Ramsey and Juve. Trophies ni tamu but at what cost? Will you be involved? Coz ukiangalia rekodi tutasema ulichukua UCL, ligi ila umeingia uwanjani mara ngapi?

Some players shine kwakua wanaaminiwa na makocha wakipelekwa kwingine wanaonekana mizigo, Adebayor, Grealish. So a youngster au usajili mpya hua anaonyeshwa project na yeye atafit vipi kwenye project, ikienda kinyume na akaamua kuondoka ni haki yake.
Bro hao uliowataja waliona hata akiwa benchi ili mradi ana medali that's fine kwake for example Hleb Song na wengineo wakati wanaenda Barca unahisi walitaka trophies au nafasi kwenye Squad?song au hleb angemtoa nani kwenye squad ya Barca?walichoka kupotezewa muda Arsenal after kuona wanatoa jasho kwenye ground ikija achievements bila bila pia mind you wale watoto(Saka Smith Row Martinelli)almost wote kuna uwezekano wataenda world cup next year wataparticipate hvyo watabakia kuwa hawajawahi kucheza champions league ambayo ni dream ya wachezaji wote duniani if tutaikosa top 4 this season wanaweza vumilia but again next season tukose nafasi tena big giants watakuja na chokochoko na project iliyoanza itakufa kifo cha mende
 
Soma hii Post yako labda ndio utaelewa Kwanini mie nilikuuliza ulikuwa umelewa? Au umealala? Jitahid uwe na kumbukumbu mkuu

Anyway, Kwa upande wangu me naona huu mjadala ulipofikia unatosha Mkuu, nisingependa kuendelea kuongelea tena, nakupa wewe ushindi so we endelea tu na wadau wengine
Bado nahisi una tatizo hayo Mabano ambayo nimeonyesha kuhusu Manchester United kutotufunga since 2018 hujayaonaaa???????bro what is your problem??
 
Arsenal ina bahati sana ya kuwa na vijana wenye vipaji Fabregas Van Persie Nasri Denilson Song Hleb na wengine wengi but they run away from us sababu hao waliona Arsenal haina direction ya big wakatuacha yatima even Henry our legend akasepa now umewataja hao Saka Smith Martinelli Odeegard (tena huyu kina Modric na Kroos)hawana muda mrefu Real Madrid Perez atamrudisha pale nyumbani ,kwa sasa hao watoto ni hatari mno but zitapita season two or three wataona club haina Malengo Bayern Munich Real Madrid Manchester City PSG watakuja na mafungu ya pesa watawabeba tutaanza upya kujenga kikosi muda unaongea let's wait and see
Mbona unahadithia historia ambayo Kila mtu anaijua tumepita
 
Acheni Masikhara wakubwa. Xhaka ni chuma ni Mtu. Mnaojaribu kumpuuza nafikiri mwana hamumsomi tu. Ameumia tu kidogo wote tukahaha humu kwa kukosekana kwake ni nani hakuliona pengo lake? Arteta ajua alipoamua kumshawishi kubaki asee au mbona baada ya kupona xhaka lokonga akawa hapati namba Mbele ya xhaka. Wakuu xhaka ni mchezaji akiamua kukichafua na pia ni mpambanaji
Lokonga kutokupata namba mbele ya xhaka, ndio kwamba xhaka ni mzuri?

"Kukosekana kwa waganga watu wanapungwa na walevi"

Ndio hatuna tu mtu wa maana lakini xhaka hana huo ubora katika timu zinazogombea ubingwa xhaka anaanza kikosi gani?
 
kama timu ina malengo makubwa ,xhaka hafai kuw starter kwa kila mechi lkn anaweza kuw sub nzuri yan bench warmer player kulingana na game itav kuw inaendlea..

madhaifu yake makubwa uwnjani ni :

lack of discipline
lack of concentration
maturity level yake ipo chini mno.
 
Back
Top Bottom