Wewe mpira hujui kumbe, Xhaka ndio mchezaji aliye flexible in build up phases hapo Arsenal huwezi kumfananisha na yoyote, Partey anamuhitaji Xhaka kusupport first line when building play, uwezo wake wa kumove mipira haraka kwenye key areas ni ubora wake mkubwa, nenda angalia goli la Patino juzi ile pasi inapigwa kwa pepe kutoka kwake huo ndio ubora wa Xhaka, weakness yake amerely kwenye left foot zaidi
Xhaka huwezi mfananisha na LT, ni locatelli au Reuben Neves wakumreplace Xhaka sio hao wengine.
Kinachotokea sasa Arteta kamove na 433 so Xhaka plays as B2B, amekuwa anaoffer quality kwenye build up ishu he is limited offensive, kwa sasa anacheza kwenye left Half space kucover gap la KT, sasa kuexploit space in between the lines ndio imekuwa shida kwenye offensive duties. Yaani kiufupi kapewa role ambayo ilitakiwa ifanywe na fundi Houssem Aouar.
View attachment 2061058