johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
Toka hapa juzi na jana vinega viwili vinafundishwa na wazee wa gegen press vimenyooshwa. Nawaangalia tu.

sasa leo njoo umuone kijana alieokotwa bar na babu wa gegenToka hapa juzi na jana vinega viwili vinafundishwa na wazee wa gegen press vimenyooshwa. Nawaangalia tu.

sasa leo njoo umuone kijana alieokotwa bar na babu wa gegenBabu wa gegen na Tuchel wote ni matapelisasa leo njoo umuone kijana alieokotwa bar na babu wa gegen
Sikuwa na mpango wa kuchangia kwenye mchadala wako kwa kuweka mawazo yangu na uelewa wangu kwenye footbal. Umewahi kucheza mpira ukafika level fulani au hata km hukufika level fulani lkn ukawa ni mchezaji mzuri utakuwa unauchukulia mpira katika uhalisia sana maana kila kinachosemwa lzm ufanye comparison na kile ulichokuwa unakutana nacho uwanjani au unachokutana nacho uwanjani.Nakupata vizuri Mkuu kwenye hili na kama Arsenal siku za karibuni itafkia hatua za kupambania kombe la ligi kuu basi ndio utakuwa mwisho wa Xhaka katika first eleven, Mtu mrefu ujijua pindi anaposimama na Mtu mfupi
Kwa sasa anatufaa kulingana na mahitaji ya team na aina ya wachezaji tulionao katika position yake, kwa makosa aliyonayo Xhaka hakuna team kubwa yoyote ambayo ipo katika mbio za ubingwa inaweza kumweka ata sub tu achilia mbali first eleven
arteta alivokuja mkajua mmepata copy ya kiparaBabu wa gegen na Tuchel wote ni matapeli
Shukrani kwa maoni yako Mkuu, mpira ndio unatakiwa ujadiliwe kwa mtindo huu, unatoa points/facts na watu wanazisoma na kuzijadiri, mwisho wa siku kunakuwa na kuongeza maarifa na vitu vingine, twende kwenye mada mkuuSikuwa na mpango wa kuchangia kwenye mchadala wako kwa kuweka mawazo yangu na uelewa wangu kwenye footbal. Umewahi kucheza mpira ukafika level fulani au hata km hukufika level fulani lkn ukawa ni mchezaji mzuri utakuwa unauchukulia mpira katika uhalisia sana maana kila kinachosemwa lzm ufanye comparison na kile ulichokuwa unakutana nacho uwanjani au unachokutana nacho uwanjani.
Xhaka alikuja kipindi cha wenger na kwa kipindi hicho tulikuwa na viungo wabunifu wa wanyumbulifu km Carzola na Ozil lkn hatukuwa na kiungo mkabati zaidi ya coqueline ambae hakufikia matarajio ya timu lkn kwenye kutafuta viungo wakabaji kulikuwa na Kante na Xhaka ambapo kiuhalisia Xhaka hakuwa mkabaji lkn kwa ajili ya skills zake katika upigaji pasi na umbo lake mzee Wenger akaona ni bora Xhaka kuliko Kante na kwa kumbukumbu zangu kipindi hicho hakuna alieponda kuchwa kwa Kante akachukuliwa Xhaka baada ya kuona moto aliowasha kipindi cha Euro 2016. Sasa je tuseme Wenger alifanya usajili mbovu kwa Xhaka?
Sasa nije kwenye maoni yangu binafsi na jinsi ninvyotazama mpira. Kwenye modern football xhaka anaweza kucheza timu yoyote tena kwenye kikosi cha kwanza kwakuwa ana uwezo wa kucheza box to box midfielder yaani ana uwezo wa kulinda na kushambulia. Hii inatokana na uwezo wake wa kupiga pass kwa usahihi akiwa eneo lolote la uwanja na kuthibisha hilo hiyo kazi aliifanya vzr sana kipindi cha wenger ambapo pass zake kutoka nyuma zilikuwa zinafika kwa creative Carzola na Carzola anapeleka kwa creative mwenzake Ozil hapo kazi ikawa inaonekana kuwa nyepesi.
Pia ni mzuri sana kwenye second ball hasa akiwa upande wa ulinzi, anachukua mpira na kupiga pass bila kuwa dribbling nyingi na hiki kitu pia ndicho kinachomfanya aonekane muhimu sana wakicheza na partey maana partey anakuwa mbele yake tofauti na partey ambae akichukuwa zile second ball lzm afanye dribbling kwanza.
Kutokana na umbo na uwezo wa Xhaka unaweza ukamtumia km beki wa kushoto au beki wa kati na bako akafanya vzr km ambavyo amefanya mara kazaa. Sasa tujiulize tena je ni kocha gani anaeweza kumweka nje mchazaji wa namna hiyo kwenye hii modern football akiwa nae kwenye kikosi?
Tatizo la Xhaka ni moja tu kwamba sio mnyumbulifu na kwa wachezaji wengi ambao sio wanyumbulifu wakibanwa huwa wana tabia ya either kukosa maamuzi or kuchelewa kufanya maamuzi pale wanapobanwa hivyo kupelekea kufanya makosa yatakayo mgharimu yeye au timu.
Issue ya kukosea kwa wachezaji ni kawaida sana na hilo pia linatokana na either kushindwa kujiamini au kujiamini kupita kiasi. Na km utakumbuka kuna kipindi timu nzima ya arseanal ilikosa kujiamini na hapo asilimia kubwa wa wachezaji walitoa maboko sana wakiongozwa na mustafi, kolasnac, Xhaka , Ozil nk. Je hao wote walikuwa wabovu? Mkuu mimi nakuhakikishia kwamba timu ikiendelea kuwaka vzr huyo Xhaka utakuja kumtolea ushaidi tena hapa kuwa ni bonge la kiungo
Hakubisha aiseeee hahahahahaah!unabishana na sky sport kuwa arsenaal haikupeleka ofa kwa zaha? tena ilikuwa enz za unai, arsenal waka opt kwenda kwa pepe...
Tena sky sport waliiripoti wakiitoa kutoka kwa fabrizio ,maana ni mfanya kazi wao
Arsenal have reportedly made a bid of £40 million to sign Crystal Palace winger Wilfried Zaha, a player the Eagles value at twice that amount. According to Sky Sports,
Kipara kipi wakati kipara naye miyeyushoarteta alivokuja mkajua mmepata copy ya kipara
FACTKwa maneno yake Bwana Stan
Simuinu ua Arsenal kwa ajili ya Mushinda mataji. Tuendelee kukaa kwa kutulia. .ataji yutayasubiri sana.
May be pale Landani wakichoka hizi siasa na wakapanukisha yule Bingwa auze team may just may be tunaweza kuanza kushinda a tena
Unajua mpira huwa unatafsiliwa kulingana na mtu mwenyewe anavyoutazama ndio maana tunakuwa na mitizamo na maoni tofauti na ndivyo pia hata makocha wanavyotizama ndo maana kocha fulani ataona hiki na mwingine ataona kile ma wote wanaweza kuwa sahihi kwa mitizamo yao kwakuwa wote wanafanikiwa kupitia hiyo.Shukrani kwa maoni yako Mkuu, mpira ndio unatakiwa ujadiliwe kwa mtindo huu, unatoa points/facts na watu wanazisoma na kuzijadiri, mwisho wa siku kunakuwa na kuongeza maarifa na vitu vingine, twende kwenye mada mkuu
Xhaka tatizo lake kubwa ni kupoteza CONCENTRATION wakati mechi inaendelea, kuna muda anashindwa kutoa pass Kwa wakati, kukaba Kwa wakati au kukaa katika eneo sahihi Kwa wakati, na hili tatizo sio kwamba linatokea baada ya mechi 5 ili uvumilie, hili tatizo kwa Xhaka linaweza kutokea katika game 2 hadi 3 consecutive, trust me brother hakuna Kocha mwenye lengo la kuchukua kombe ataweza kumvumilia Kiungo wa namna hii, kwenye mpira sometimes hupewi nafasi ya kujirekebisha, unakosea na at the same time unaadhibiwa
DISCIPLINE mbovu na hii inatokona na kuwa anapoteza concentration muda mwingi, unakuta kazubaa anafikilia atoe wapi pass mchezaji wa team pinzani anapita na mpira, ile hamaki anajikuta anacheza foul za kipuuzi na either kuigharimu team kwa kupata umeme au kuislow team kwa kupata card ya njano
Tatizo lingine la Xhaka jamaa sio PRESS RESISTANT, Xhaka ukitaka umu expose ujinga wake we mpress akiwa karibu na mabeki wake au karibu na lango, mara nyingi hutoa pass ambazo zinaigharimu sana team
Na tatizo la mwisho ambalo linanifungia points zangu ni hili, Xhaka akicheza kama Kiungo mkabaji waga hawezi KUNUSA HATARI ya wapi mpira utaenda, unakuta anaenda sehemu akiwa kashachelewa na kujikuta mara nyingi sana anacheza faulo, maana mchezaji wa team pinzani ndio anaondoka hivo
Sasa kwa makosa haya ambayo mie nimeyaongelea brother, trust me hakuna team kubwa yoyote yenye lengo la kubeba ligi kuu ambayo Xhaka anaweza kupata Namba, maana jamaa ni prone katika mapungufu yake
katika box to box midfield yake pote ana mapungufu ambayo anayarudia always, akiwa anaenda kushambulia anapoteza concentration na Yuko slow kwenye kufanya maamuzi, kwenye kukaba pia ana uwezo mdogo wa kujua mpira unaenda wapi na kupelekea kuwa susceptible na kadi muda wote
Naweza kuungana tu na wewe kwenye strength hizi za Xhaka
1. Kuhold mpira hapa mzuri zaidi
2.kupiga through ball hapa mzuri zaidi
3.kupiga cross
4.Kupiga pass
5.kupiga direct kick, hapa sio sana
Mwisho wa siku naheshimu mawazo yako Mkuu na nimependa Argument yako ila bado hujanishawishi kuwa Xhaka ni kiungo bora pamoja na hayo mapungufu yake yote, kwa Arsenal hii ambayo inapambania top four it's ok anatufaa ila kama malengo yakichange basi simuoni tena kama muhimili wa Team
Wengine ni baba zako humu,sasa wewe endelea kutoa lugha za ajabu....Hana akili huyo Dully Jr achana nae atakupotezea muda
List ni ndefu,suala la usajili ni gamble tu,Wenger era Xhaka ndiye mchezaji anayepiga pasi nyingi kuliko wote EPL. Timu yetu yote ilikua morali ipo chini ikapelekea kuna makosa yanafanywa ya kizembe na yaliigharimu timu. Xhaka, Mustafi, Auba, Kola n.k ni waathirika so kumpata Xhaka wa Wenger siyo leo
Kroenke pesa atatoa tu. Self sustaining model inaachwa pole pole. For years Kuna timu zimekua zikinunua wachezaji kwa pesa ya zaidi ya ya Pepe na wanapigwa na hawakomi. Pesa iliyotoka kwa ajili ya CB na GK ni ushahidi wa mabadiliko.
Kwanini haujamtaja maguire?😅😅List ni ndefu,suala la usajili ni gamble tu,
Grizman,dembele,coutinho,pjanic to barca mashine imesaga kisado....
Pogba,sanchez,di maria,maguire,sancho,....
Hazard to madrid hahahaaaaaa
Zote hizo ni sajili za pesa ndefu na watu wamepiga loss......
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Japokuwa ni Kweli mpira huwa unatafsiriwa kulingana na Mtu mwenyewe anavoutizama ila mwisho wa siku maoni ya wengi ndio hubeba uhalisia juu ya mchezo wenyewe, udhaifu wa Xhaka hausemwi na watu wachache mkuu ni watu wengi sanaUnajua mpira huwa unatafsiliwa kulingana na mtu mwenyewe anavyoutazama ndio maana tunakuwa na mitizamo na maoni tofauti na ndivyo pia hata makocha wanavyotizama ndo maana kocha fulani ataona hiki na mwingine ataona kile ma wote wanaweza kuwa sahihi kwa mitizamo yao kwakuwa wote wanafanikiwa kupitia hiyo.
Ni kweli mchezajia anaweza kupoteza concentration awapo uwanjani na hii mara nyingi hutokana na either kuwa na matatizo yanayomkabili nje ya uwanja(psychological) or kutokuwa uwanajani muda mrefu yaan anajisahau. Kwangu mimi naona mechia ambazo Xhaka amekuwa akijisahau ni mechi ambazo ametokea majeruhi mfano mechi ya everton. Lkn baada ya hapo amekuwa vzr tu lbd km utanikumbusha kwamba mechi fulani na fulani matatizo hayo yalijitokeza kwake.
Discipline, kwa namna ulivyozungumzia discipline nimeshindwa kuelewa unazungumzia discipline ya namna gani je ni ya kukaba au ya ugomvi?
Press resistant, nimekwambia kuwa hii inatokana na kutokuwa mnyumbulifu hivyo ukimbana/ ukimkaba na kukaba nafasi za kupitisha pass kwa urahisi ni either anashindwa au anachelewa kufanya maamuzi tofauti na mtu km partey ambaye ananyumbulika kwahiyo hata akibanwa atanyumbulika na kufanya kitu sahihi mfano mzuri km wewe ni mfuatiliaji mzr wa jukwaa hili kuna kosa aliwahi fanya Xhaka la kushindwa kupiga pass kwenye triangle badala yake akatoa boko lkn tukio la vile vile partey akafanya na km sikosea castr alileta picha za hayo matukio yote mawili
Huyo mshkaji ni tapeli. Eti title contender. Title contender wa Bonyokwaarteta alivokuja mkajua mmepata copy ya kipara
nyingine imeshapakwa mafuta inasubiriwa kukalia chupa ya mirinda mnamo siku ya jumamosTimu tatu.
Moja imejisifu kwamba sasa na yenyewe inaanza kufanya gegen press ikasuluhu na Newcastle.
Nyingine inafanya gegen press tangu 2017 imepigwa na Leicester.
Nyingine inadai kwamba iko salama chini ya tactical magician imesuluhu na Brighton.











Ushenzi hautakusaidia. Ondoa tapeli usalimikenyingine imeshapakwa mafuta inasubiriwa kukalia chupa ya mirinda mnamo siku ya jumamos![]()