Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ingekua siku ya kwanza ndiyo jana nakutana naye ningeassume kalewa ila kwakua kila siku yupo hivi basi nashika nilichowahi kusema kwamba jamaa anapenda timu ila kwenye mpira he isn't that good.

Yet anataka tumia limited knowledge kumuelewesha kila mtu wenzake kwa kujua hatujui vyote tunakubali kusikiliza wengine na kuona wapi tunashindwa kuelewana.

Habari ni tofauti mbele ya jamaa.
anza kumu ignore, sasa kupoteza muda wa nini, arguments zake anaonekana wazi ni teenager, kingine kuna watu ni anti arteta, wanataka afungwe wa prove their points kuwa walikuwa sahihi
 
Naamini kuanzia Leo Castr Hatopoteza tena muda wake na nguvu zake ovyo.

Mimi nilishamuacha huyo jamaa. Ngojeni City amfunge Arsenal atakuja na vi-screenshoot vyake uchwara hapa ili kuja kuwananga kwamba yeye alisema na yeye ndio anajua sana mpira.

Atakuja na "fucking truth" zake kibao

Arteta atakuwa sio kocha na itabidi afukuzwe siku hiyohiyo. Castr akimwambia basi omba wewe ukocha inakuwa naongea.
Huyo jamaa alisumbuaga sana humu kwa jina la milangomitatu ana multiple id huyo, kichwa chake anakijua mwenyewe huyo na ARV hawana tofauti kabisaaaaaaaaa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Saint Maximin is a big deal, sijui kama Newcastle watamuuza ila huyu jamaa atakuwa mkubwa sana akienda timu kubwa, Newcastle are reliant on him to get up the pitch, Bring ASM to Arsenal as a Pepe replacement.
Jamaa ni mchezaji mzuri Sana ila anahitaji kubadirika, Saint sio team player na ndomana anapata majeruhi mara kwa mara ambayo hayana msingi, anapenda kukaa na mpira na Kila kitu afanye yeye tu, mgumu kutoa pass Kwa haraka kwa faida ya team na hii inafanya mashambulizi mengi ambayo yangeweza kuleta madhara kwa team pinzani basi yanafia kwake

Angalia vile Newcastle walivyocheza kipindi jamaa ametoka, walikuwa more threat kuliko alivokuepo ndio utajua kuwa ubinafsi wa Saint unaiponza Newcastle somehow, kuna muda ana mpira wenzake wamefungua ila anapiga turn anarudi alikotokea ilimradi tu apate space ya kushoot ye mwenyewe

uchezaji wake unafanana sana na Pepe ila tofauti yao ni kwamba Saint anajiamini zaidi na kapewa umuhimu katika kikosi, ila akichange akawa team player basi kuna game nyingi Newcastle atakuwa anashinda kirahisi sana coz jamaa ana speed na uwezo wa kupunguza mabeki ata wawili na akatoa pass Kwa mchezaji mwingine

kwa arsenal hakuna mchezaji anamzidi kutengeneza nafasi Pepe, ila utoto wake na mambo mengi yasiyo na maana pindi anapokuwa na mpira kunamfanya awe mchezaji wa kawaida sana, sehemu ya kutoa pass atataka ampige tobo mtu na hapo mnaenda kushambulia maana yake team imepanda then anapoteza mpira mnageukiwa nyie
 
hakuna kitu pale, mpira wa anao anao, too many touches
 
Mkuu we una kasumba ya ubishi tu na mgumu sana kuelewa, jamaa anajitahidi sana kukuelewesha ila tatizo lako ni kwamba umejiandaa tu kubisha ata afanye nini, nimewafatilia muda mrefu kwenye mada yenu ila nimegundua kuwa huna hoja na huna hoja kwa sababu umeamua kubisha tu

Amesema tangu mwaka 2018 Man u alikuwa hajaifunga Arsenal hadi walipoifunga msimu huu, Cha ajabu ubaibuka na eti December 2 Old trafford Man aliifunga Arsenal, ulikuwa umelewa? Ulikuwa umelala? Sasa hadi hapo kati yenu nani alikuwa kalewa? Hiyo mechi ya Dec 2 ilikuwa ni msimu upi? Ipi ni tofauti na alivosema msimu huu ndio Man u kamfunga Arsenal tangu 2018

unataka Arsenal aifunge au atoe draw na Man City ndio uprove kwamba team imeimalika seriously? Kwa aina ya kikosi Cha city na kocha wao ulinganishe na kikosi cha Arsenal na Kocha wao uje kwenye quality, consistency, chemistry na age ya wachezaji wa hizi team mbili we unaona ni kipimo sawa?

Westham kamfunga Liverpool, Totenham na Chelsea je kwahiyo westham ndio wameprove kwako ni team bora? Leo iko wapi kwenye EPL table? Je Arsenal alieifunga westham yeye ni bora kuliko Liverpool na Chelsea waliofungwa na westham? Amepata faida gani kumfunga Liverpool na yeye kufungwa na team kama Southmptom,Wolves na Brentford

Mpira hauko hivo mzee acha ubishi wa kitoto na ujifunze kujenga hoja, Arsenal anaweza kumfunga Man City either kwa mbinu au bahati ila bado ukweli utabaki pale pale kuwa bado ni team dhaifu dhidi ya giants kwa sasa, ila kufika huko inabidi uanze kuzipiga kwanza hizi mid teams na ndio anachokifanya Arsenal kwa sasa
You are talking too much bro sasa mimi nlichokisema ni kuwa January 1 ntaona Kama tunaimarika au lah sababu tunakutana na big giant na I said even draw itakuwa points sahihi kwa Arsenal then nkasema why even a draw kwa Arsenal kwa Manchester City sababu tupo home na nicaconclude kuwa tumecheza na Norwich Leeds Southampton hao wote ni dhaifu kwetu let's wait for the big match on Saturday sababu ndio tutaona Direction ya timu yetu sasa ulivyokuwa ignorant wewe mwenyewe unakiri Arsenal ana udhaifu dhidi ya big giants na mimi ndio nataka kuona Saturday nini kitatokea umeandika mno mno but nonsense bro uwe unamsoma mtu kwanza anamaanisha nini anachokisema Nkikuuliza ntafutie 4 teams ambazo tumewin consecutive matches (West Ham Southampton Norwich Leeds)wametufunga lini mara ya mwisho unaweza kuja na statistics tuprove unachokisema ?stupid

Arsenal for more than 10 years hajabeba zaidi ya points 20 vs top teams hii ndio kiu ya fans kuona tunaambulia nini mfano this season tumefungwa goal 11 vs top 3 teams na scored 0 goals wewe hujitambui kiakili ever yaani unakuwa happy kumfunga Norwich Leeds Southampton?Saturday tufungwe 4 tena kisha msemo utakuwa ni nini?

Umemalizia kwa kusema ili Arsenal ifike huko juu lazima aanze kuwin against mid teams ili afike huko bro may be you start to follow Arsenal team kuanzia 2016 ,Arsenal yetu for more than 10 years haijawahi kusumbuliwa na mid teams for example 2016 Arsenal alimaliza 2 position au umesahau?na alimaliza hyo position kwa kumfunga Leicester home and away do you remember?na alikosa kuwa juu ya Leicester sababu vs Big teams tuliambulia vipigo but Leicester aliwin many matches akaweza kutuacha mbali na so unasema aanze na mid teams kwanza mpaka lini ?Biggest problem for Arsenal since 2010 ni kupata points vs big teams na problem hyo ikitatuliwa Arsenal kwa squad hii ana uwezo wa kubeba EPL sio expectations zetu kuwa hvyo but kwa uwezo wa Mungu inawezekana Arsenal kafungwa 6 games mpaka sasa (Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United-4 big teams wote hao tumepoteza hata point 1 hatujapata)licha kufungwa or draw or win ni matokeo ya football
 
Ramsdale kuhusu uhamisho wake kukosolewa na mashabiki

"Wakati mazungumzo na #Arsenal yalipoanza mwezi Mei, nilijua nilikuwa nikikosolewa sana, lakini kwa bahati nzuri sikutaka kuwasoma. £30m ni pesa nyingi sana kwa kipa No 2 kwa hivyo ninaelewa wasiwasi waliokuwa nao mashabiki."
May be an image of 2 people and text that says 'RWAND VISIT'

Huyo jamaa alisumbuaga sana humu kwa jina la milangomitatu ana multiple id huyo, kichwa chake anakijua mwenyewe huyo na ARV hawana tofauti kabisaaaaaaaaa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ndo mentality yako inakutuma hvyo kuwa mtu akitoa maoni against Arsenal hata kama ni fan wa Arsenal anakuwa na ID 2?wewe naishia hapa kukujibu upeo wako wa akili hatutaweza kujadiliana
 
Tangu Arteta ameingia, amempeleka Bukayo kwenye level nyingine. Amemchezesha katika nafasi nyingi kabla ya kutambua kuwa RW ndio nafasi yake halisia, na sasa anazidi kuwa hatari kila siku ,na ana umri wa miaka 20 tu, .
wengi tuliamini labda abaki awe beki wa kushoto au LW, au Left Midfielder, au hata wing back, lakini kipaji cha Saka kilimuhitaji mtu wa kukitoa pale kilipo na kukipeleka level nyingine,

leo sitamuongelea Smith rowe tuliyeamini ni No.10 ,je watawezaje kucheza kwa pamoja na Odegard , Lakini ni Arteta aliyeamini kwa sifa za emily smith rowe anaweza kutokea pembeni, akaingia ndani kama N0.10 na kufanya DOUBLE No.10s yeye na Odegaard na wote wakashine kwa pamoja, kwa kocha mwingine ilikuwa lazima achague kuanza na no.10 mmoja, hivo angezorotesha kipaji cha mmoja.hii ilimtokea Ole gunna pale man u, alishindwa kuwatumia BRUNO NA POGBA kwa pamoja au bruno na Van de beek, KILA alipojaribu alipitia wakati mgumu, mwisho wa siku van de beek kipaji chake kikazorota.

Ukiona mtu haoni kazi ya arteta kwenye kuwa develop hawa vijana, basi hajui kuweka kumbukumbu sawa,wapi aliwakuta hawa vijana

[Arteta] on saka
"To play in those positions for a big club like us, you need to be producing goals & assists every game. It’s what we demand from him & he has the capacity to do it & he’s doing it better & better."
1640673268842.png
 
Ingekua siku ya kwanza ndiyo jana nakutana naye ningeassume kalewa ila kwakua kila siku yupo hivi basi nashika nilichowahi kusema kwamba jamaa anapenda timu ila kwenye mpira he isn't that good.

Yet anataka tumia limited knowledge kumuelewesha kila mtu wenzake kwa kujua hatujui vyote tunakubali kusikiliza wengine na kuona wapi tunashindwa kuelewana.

Habari ni tofauti mbele ya jamaa.
Bro wewe unajua nini?humu jukwaani wote tupo 50 50 no one knows than another usijione upo special sana because hujawahi kuwa coach wala lolote lile kwenye football otherwise maoni ya kila mtu yaheshimiwe you are no one katika football bro !
 
Tangu Arteta ameingia, amempeleka Bukayo kwenye level nyingine. Amemchezesha katika nafasi nyingi kabla ya kutambua kuwa RW ndio nafasi yake halisia, na sasa anazidi kuwa hatari kila siku ,na ana umri wa miaka 20 tu, .
wengi tuliamini labda abaki awe beki wa kushoto au LW, au Left Midfielder, au hata wing back, lakini kipaji cha Saka kilimuhitaji mtu wa kukitoa pale kilipo na kukipeleka level nyingine,

leo sitamuongelea Smith rowe tuliyeamini ni No.10 ,je watawezaje kucheza kwa pamoja na Odegard , Lakini ni Arteta aliyeamini kwa sifa za emily smith rowe anaweza kutokea pembeni, akaingia ndani kama N0.10 na kufanya DOUBLE No.10s yeye na Odegaard na wote wakashine kwa pamoja, kwa kocha mwingine ilikuwa lazima achague kuanza na no.10 mmoja, hivo angezorotesha kipaji cha mmoja.hii ilimtokea Ole gunna pale man u, alishindwa kuwatumia BRUNO NA POGBA kwa pamoja au bruno na Van de beek, KILA alipojaribu alipitia wakati mgumu, mwisho wa siku van de beek kipaji chake kikazorota.

Ukiona mtu haoni kazi ya arteta kwenye kuwa develop hawa vijana, basi hajui kuweka kumbukumbu sawa,wapi aliwakuta hawa vijana

[Arteta] on saka
"To play in those positions for a big club like us, you need to be producing goals & assists every game. It’s what we demand from him & he has the capacity to do it & he’s doing it better & better."
View attachment 2060239
Arsenal ina bahati sana ya kuwa na vijana wenye vipaji Fabregas Van Persie Nasri Denilson Song Hleb na wengine wengi but they run away from us sababu hao waliona Arsenal haina direction ya big wakatuacha yatima even Henry our legend akasepa now umewataja hao Saka Smith Martinelli Odeegard (tena huyu kina Modric na Kroos)hawana muda mrefu Real Madrid Perez atamrudisha pale nyumbani ,kwa sasa hao watoto ni hatari mno but zitapita season two or three wataona club haina Malengo Bayern Munich Real Madrid Manchester City PSG watakuja na mafungu ya pesa watawabeba tutaanza upya kujenga kikosi muda unaongea let's wait and see
 
Hawezi kukuelewa huyo na lazima atakubishia tu!.. Huyo ni mashine ya mabishano
Samahani sijajua kama we ni sister au brother ina maana unataka tuwe sawa kwa points hata kama wote ni Arsenal fans?for me nasimamia nachokiona sorry sijafanya mabishano na any one
 
aina ya mpira anaocheza sio kbs, anao anao sana sidhani kama anatufaa
Ndio kazi ya Winger hiyo lazima ufanye dribbling kuaffect opposition pattern, create space & angle to move the ball to dangerous areas.
 
Jamaa ni mchezaji mzuri Sana ila anahitaji kubadirika, Saint sio team player na ndomana anapata majeruhi mara kwa mara ambayo hayana msingi, anapenda kukaa na mpira na Kila kitu afanye yeye tu, mgumu kutoa pass Kwa haraka kwa faida ya team na hii inafanya mashambulizi mengi ambayo yangeweza kuleta madhara kwa team pinzani basi yanafia kwake

Angalia vile Newcastle walivyocheza kipindi jamaa ametoka, walikuwa more threat kuliko alivokuepo ndio utajua kuwa ubinafsi wa Saint unaiponza Newcastle somehow, kuna muda ana mpira wenzake wamefungua ila anapiga turn anarudi alikotokea ilimradi tu apate space ya kushoot ye mwenyewe

uchezaji wake unafanana sana na Pepe ila tofauti yao ni kwamba Saint anajiamini zaidi na kapewa umuhimu katika kikosi, ila akichange akawa team player basi kuna game nyingi Newcastle atakuwa anashinda kirahisi sana coz jamaa ana speed na uwezo wa kupunguza mabeki ata wawili na akatoa pass Kwa mchezaji mwingine

kwa arsenal hakuna mchezaji anamzidi kutengeneza nafasi Pepe, ila utoto wake na mambo mengi yasiyo na maana pindi anapokuwa na mpira kunamfanya awe mchezaji wa kawaida sana, sehemu ya kutoa pass atataka ampige tobo mtu na hapo mnaenda kushambulia maana yake team imepanda then anapoteza mpira mnageukiwa nyie
Kwangu ASM is an absolute baller, so good, so special, we need him man. 1 v 1 specialist, ASM unahitaji kumdouble mark , Bukayo Saka unahitaji kumdouble mark huoni namna gani Arsenal's system itakuwa free kudestroy teams?
 
Back
Top Bottom