Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwangu ASM is an absolute baller, so good, so special, we need him man. 1 v 1 specialist, ASM unahitaji kumdouble mark , Bukayo Saka unahitaji kumdouble mark huoni namna gani Arsenal's system itakuwa free kudestroy teams?
Sawa mkuu naheshimu mawazo yako
 
Bro wewe unajua nini?humu jukwaani wote tupo 50 50 no one knows than another usijione upo special sana because hujawahi kuwa coach wala lolote lile kwenye football otherwise maoni ya kila mtu yaheshimiwe you are no one katika football bro !
Na kusoma hujui.

Hauoni nimesema '. . . hatujui vyote . . .'

Sasa kama nishasema sijui vyote na wewe kuniambia sipo special mbona ni unakubaliana na nilichosema?

Kwani mkuu una shida gani? Mbona nimeandika kitu cha wazi bado tu unataka tushindane? Nakuuliza sema nifanye nini ili uelewe hutaki. Yaani una drama na gubu kwa pamoja.
 
nilishasema huko nyuma kwamba hiki kifaa kinatufaa sana. Ila sasa kwa jinsi anavyocheza, mara nyingi he is prone to injuries.
Huyu umeanza kumuona tangu lini? Ni bora Pepe kuliko huyo jamaa.
 
Jamaa ni mchezaji mzuri Sana ila anahitaji kubadirika, Saint sio team player na ndomana anapata majeruhi mara kwa mara ambayo hayana msingi, anapenda kukaa na mpira na Kila kitu afanye yeye tu, mgumu kutoa pass Kwa haraka kwa faida ya team na hii inafanya mashambulizi mengi ambayo yangeweza kuleta madhara kwa team pinzani basi yanafia kwake

Angalia vile Newcastle walivyocheza kipindi jamaa ametoka, walikuwa more threat kuliko alivokuepo ndio utajua kuwa ubinafsi wa Saint unaiponza Newcastle somehow, kuna muda ana mpira wenzake wamefungua ila anapiga turn anarudi alikotokea ilimradi tu apate space ya kushoot ye mwenyewe

uchezaji wake unafanana sana na Pepe ila tofauti yao ni kwamba Saint anajiamini zaidi na kapewa umuhimu katika kikosi, ila akichange akawa team player basi kuna game nyingi Newcastle atakuwa anashinda kirahisi sana coz jamaa ana speed na uwezo wa kupunguza mabeki ata wawili na akatoa pass Kwa mchezaji mwingine

kwa arsenal hakuna mchezaji anamzidi kutengeneza nafasi Pepe, ila utoto wake na mambo mengi yasiyo na maana pindi anapokuwa na mpira kunamfanya awe mchezaji wa kawaida sana, sehemu ya kutoa pass atataka ampige tobo mtu na hapo mnaenda kushambulia maana yake team imepanda then anapoteza mpira mnageukiwa nyie
Maximin ni kinabo. Bora Pepe.

Unless kama unamfuatilia kwa kuangalia Youtube ila kama unafuatilia mechi Maximin hatokusaidia kushinda.
 
Jamani tusisahau!

Granit Xhaka ni only player katika ukanda wa Milky Way Galaxy kucheza chini ya makocha 6 katika vilabu tofauti. Katika makocha sita amekuwa first team player in day out na amekuwa kapteini!

Kocha wa kwanza utasema hajui football, wa pili hana tactics na wa tatu hakuwa na option lakini wanne, watano hadi wa sita?! Xhaka mikataba yake imekuwa 5 years hadi Arsenal chini ya Unai Emery kutoa six years! Hata kama hatuelewi football sio kwa six coaches jamani.

Happy Holidays!
 
Yaah man, If you know ball you cant doubt his ball striking & pass selection quality.
Sidhani kama ulinielewa Mkuu, jamaa ni mchezaji mzuri Sana ila anahitaji kubadirika maana ni mbinafsi, laiti kama angekuwa anacheza kitimu angeisaidia sana Newcastle, ukiangalia game ya jana utakubaliana namie kwamba kupitia ubinafsi wake kwa namna Moja au ingine ameinyima ushindi team yake

Ukiangalia game ya jana baada ya saint kutoka, Newcastle walicheza kitimu sana na wakazidi kuwa threat mbele ya lango la Man u japokuwa walikuwa hawana mchezaji mwenye uwezo kama wa Saint, jamaa alikuwa anapata nafasi nzuri sana za kutengeneza key pass au assist ila yeye anafosi amalize kazi mwenyewe

Ndomana nikatolea mfano Pepe, kwa Arsenal hakuna mchezaji anamzidi kutengeneza nafasi ispokuwa kinachomponza ni ubinafsi,utoto wake na mambo mengi yasiyo na maana ndio yanamuharibia, Saint ni Kama Zaha, jamaa kilichofanya hadi Leo hii awepo Crystal palace ni ubinafsi wake, kidogo alianza kuchage last season ila akawa amechelewa

Kuna wachezaji hawafikii uwezo wa Zaha, Saint na Pepe ila mchango wao kwenye team ni mkubwa kwakuwa wanacheza kitimu na sio selfish, kwa uwezo wa Saint na ukiangalia contribution yake kwenye Team ni ndogo Sana na hii yote inasababishwa na ubinafsi wake

ukicheza kitimu na ukiwa na uwezo kama wa Saint mara nyingi mipira ya mwisho itakurudia tena wewe maana ata team mates wako wanajua uwezo wako so unakuwa target man ila ukiwa mbinafsi utaishia kupata namba ndogo Sana za assist na magoli kwakuwa mipira inaishia kwako

Kwa mpira wa siku hizi team work ndio Kila kitu mkuu, na ndio makocha wanahusudu sana aina hii ya mpira na sio mpira wa mtu mmoja kama zamani, kwahiyo me sijasema jamaa sio mchezaji mzuri ila anahitaji kubadirika lasivyo atabakia hapo hapo Newcastle au atashuka zaidi ya hapo alipo
 
Na kusoma hujui.

Hauoni nimesema '. . . hatujui vyote . . .'

Sasa kama nishasema sijui vyote na wewe kuniambia sipo special mbona ni unakubaliana na nilichosema?

Kwani mkuu una shida gani? Mbona nimeandika kitu cha wazi bado tu unataka tushindane? Nakuuliza sema nifanye nini ili uelewe hutaki. Yaani una drama na gubu kwa pamoja.
Basi usipende kupinga mawazo ya wenzako
 
Sidhani kama ulinielewa Mkuu, jamaa ni mchezaji mzuri Sana ila anahitaji kubadirika maana ni mbinafsi, laiti kama angekuwa anacheza kitimu angeisaidia sana Newcastle, ukiangalia game ya jana utakubaliana namie kwamba kupitia ubinafsi wake kwa namna Moja au ingine ameinyima ushindi team yake

Ukiangalia game ya jana baada ya saint kutoka, Newcastle walicheza kitimu sana na wakazidi kuwa threat mbele ya lango la Man u japokuwa walikuwa hawana mchezaji mwenye uwezo kama wa Saint, jamaa alikuwa anapata nafasi nzuri sana za kutengeneza key pass au assist ila yeye anafosi amalize kazi mwenyewe

Ndomana nikatolea mfano Pepe, kwa Arsenal hakuna mchezaji anamzidi kutengeneza nafasi ispokuwa kinachomponza ni ubinafsi,utoto wake na mambo mengi yasiyo na maana ndio yanamuharibia, Saint ni Kama Zaha, jamaa kilichofanya hadi Leo hii awepo Crystal palace ni ubinafsi wake, kidogo alianza kuchage last season ila akawa amechelewa

Kuna wachezaji hawafikii uwezo wa Zaha, Saint na Pepe ila mchango wao kwenye team ni mkubwa kwakuwa wanacheza kitimu na sio selfish, kwa uwezo wa Saint na ukiangalia contribution yake kwenye Team ni ndogo Sana na hii yote inasababishwa na ubinafsi wake

ukicheza kitimu na ukiwa na uwezo kama wa Saint mara nyingi mipira ya mwisho itakurudia tena wewe maana ata team mates wako wanajua uwezo wako so unakuwa target man ila ukiwa mbinafsi utaishia kupata namba ndogo Sana za assist na magoli kwakuwa mipira inaishia kwako

Kwa mpira wa siku hizi team work ndio Kila kitu mkuu, na ndio makocha wanahusudu sana aina hii ya mpira na sio mpira wa mtu mmoja kama zamani, kwahiyo me sijasema jamaa sio mchezaji mzuri ila anahitaji kubadirika lasivyo atabakia hapo hapo Newcastle au atashuka zaidi ya hapo alipo
Kwa kifupi Pepe na Maximin ni modern day Okocha timu ipo kwenye move ila mipira ilikua ikifika kwa okocha inapoa, move inakufa.

Ati Maximin aje Arsenal 😅😅😅
 
FACT KABISA ,Pepe atajutia sana kwa sasa watoto wamechukua nafasi yake na wanafanya vizuri for me Pepe ana talent ila hajielewi sometimes
 
Jamani tusisahau!

Granit Xhaka ni only player katika ukanda wa Milky Way Galaxy kucheza chini ya makocha 6 katika vilabu tofauti. Katika makocha sita amekuwa first team player in day out na amekuwa kapteini!

Kocha wa kwanza utasema hajui football, wa pili hana tactics na wa tatu hakuwa na option lakini wanne, watano hadi wa sita?! Xhaka mikataba yake imekuwa 5 years hadi Arsenal chini ya Unai Emery kutoa six years! Hata kama hatuelewi football sio kwa six coaches jamani.

Happy Holidays!
Kwa uwezo wa team yetu Xhaka ni mchezaji mzuri sana na of course anaisaidia sana team kulingana na uwezo wake, na kuhusu makocha wote kumpa nafasi ni kwa sababu hakuna mchezaji ambae yupo Arsenal au alinunuliwa kwa lengo la kuja kuchukua nafasi ya Xhaka ila kama ingekuwa hivo basi siku nyingi tu nafasi yake ingekuwa haipo Tena

Mtu mrefu hujijua pindi anapokaa na mtu Mfupi ndo kinachotokea kwa Xhaka, wachezaji wa position yake hakuna wa kumweka benchi ila hiyo haina maana kwamba jamaa ni mchezaji bora, sikufichi kwa Xhaka hakuna team yoyote top six anaweza kupata namba first eleven

Jamaa ana makosa ya kitoto sana ambayo huwa anayarudia mara kwa mara, maana unaweza kusema hakuna binadamu ambae hakosei ni kweli ila issue inakuja anakosea mara ngapi kosa aina Moja? Tatizo kubwa la Xhaka ni lack of Concentration wakati mechi inaendelea, waga kama kuna muda anasinzia hivi wakati anakuja kushtuka teyari watu washafanya yao

Tatizo kubwa la pili la Kiungo wetu ni anakosa kuwa Mobility, akifanyiwa pressing Xhaka waga anajikuta anakuwa off position mara nyingi sana na kujikuta anaachia njia kwa team pinzani kupita kirahisi sana na kupelekea kufungwa Kutokana na pass zake za kuchoma langoni mwake

Na tatizo la tatu ambalo me kwangu naona linamuondolea sifa za kuwa Kiungo bora ni uchezaji wake wa faulo ambazo mara nyingi waga hazina umuhimu, na hii waga inatokana na kuwa na uwezo mdogo wa kunusa hatari, hivo inampelekea anakuwa anafanya maamuzi ambayo alichelewa kuyafanya kabla

Lucas Torreira alikuwa bora sana kwenye nafasi ya Xhaka ila umbo lake llabda ilimuangusha na Unai ndio alifanya jamaa aondoke maana hakumkubali, ye akaopt kwenda na Xhaka ila to be honest Torreira was far Better than Xhaka

ila mwisho wa siku naheshimu mawazo yako juu ya Xhaka pamoja na wadau wengine Mkuu, haya ni mawazo yangu tu haimaanishi niko sahihi
 
Umeandika bandiko refu kurudia ukumbusho wangu!

Hapa ".....na kuhusu makocha wote kumpa nafasi ni kwa sababu hakuna mchezaji ambae yupo Arsenal au alinunuliwa kwa lengo la kuja kuchukua nafasi ya Xhaka..." unaonesha kutwist mawazo yangu!

Xhaka amecheza timu nne tofauti under six coaches sio Arsenal makocha sita. Vilabu vyote na Swiss Team makocha walimfanya kampteini! Amecheza michezo yote as regular starter akiwa fit.

Kusema Torreira aliondolewa na nafasi kucheza Xhaka you are wrong maana Xhaka kamtangulia Torreira! Partey ndiye amesajiliwa kucover nafasi ya Torreira. Xhaka aliletwa kuchukua nafasi za viungo waliokuwa injury na likely kumaliza soka! Tomasz Rosicky, Santi Cazorla, Wilshere na Ramsey.

Arsenal ni taasisi kubwa Uingereza pengine nyuma ya Manchester United na Liverpool kama taasisi endapo Xhaka asingefaa asingelipatiwa mkataba 2020 under Unai Emery maana mkataba wake alioachwa na Wenger ungeliisha end of that season.

Kama taasisi haishindwi kutafuta mbadala wake endapo sio chaguo la kocha na kama yupo zaidi zake kama ilivyofanya kwa Shkodrani, Papa, Mkhitaryan, Bellerin and co. Kitendo cha uwepo wake Arsenal haioni kitu so special cha ingizo jipya!

Narudia hata kama hatujui football au makosa sio kuaminika kila mahala unapopita kwa kiasi hiki under SIX coaches! Who are you? Ufanye makosa TPA, NSSF, Bunge halafu uingie Ikulu maraisi watatu wakupandishe vyeo!

Hitimisho suggest mbadala wa Xhaka hapa.
 
makasiriko ya nini sasa?jifunze kusoma vya wengine kama huna upeo ktk eneo husika,sio kujitutumua utajikuta unaadhirika kama hivi sasa,

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Narudia wewe ni idiot haya niambie nimeadhirika nini sasa?kuwa Arsenal this season vs top big teams kashinda mechi 1?kafungwa na Chelsea Manchester City Manchester United Liverpool?au nimeadhirika nini kusema kuwa vs top 3 tumefungwa 11 goals na Arsenal hajascore ?wapi nimeadhirika bro?ok I know right now your answer will be I am using 2 different IDs
 
Umeandika bandiko refu kurudia ukumbusho wangu!

Hapa ".....na kuhusu makocha wote kumpa nafasi ni kwa sababu hakuna mchezaji ambae yupo Arsenal au alinunuliwa kwa lengo la kuja kuchukua nafasi ya Xhaka..." unaonesha kutwist mawazo yangu!

Xhaka amecheza timu nne tofauti under six coaches sio Arsenal makocha sita. Vilabu vyote na Swiss Team makocha walimfanya kampteini! Amecheza michezo yote as regular starter akiwa fit.

Kusema Torreira aliondolewa na nafasi kucheza Xhaka you are wrong maana Xhaka kamtangulia Torreira! Partey ndiye amesajiliwa kucover nafasi ya Torreira. Xhaka aliletwa kuchukua nafasi za viungo waliokuwa injury na likely kumaliza soka! Tomasz Rosicky, Santi Cazorla, Wilshere na Ramsey.

Arsenal ni taasisi kubwa Uingereza pengine nyuma ya Manchester United na Liverpool kama taasisi endapo Xhaka asingefaa asingelipatiwa mkataba 2020 under Unai Emery maana mkataba wake alioachwa na Wenger ungeliisha end of that season.

Kama taasisi haishindwi kutafuta mbadala wake endapo sio chaguo la kocha na kama yupo zaidi zake kama ilivyofanya kwa Shkodrani, Papa, Mkhitaryan, Bellerin and co. Kitendo cha uwepo wake Arsenal haioni kitu so special cha ingizo jipya!

Narudia hata kama hatujui football au makosa sio kuaminika kila mahala unapopita kwa kiasi hiki under SIX coaches! Who are you? Ufanye makosa TPA, NSSF, Bunge halafu uingie Ikulu maraisi watatu wakupandishe vyeo!

Hitimisho suggest mbadala wa Xhaka hapa.
Umeandika kama vile tunasutana Mkuu which is wrong, nimesema chini hapo kuwa me nimetoa mawazo yangu ila naheshimu mawazo yako pia, Sijarudia andiko lako Mkuu, me nimejikita kwenye kuelezea mapungufu ambayo kwa upande wangu nayaona kwa Xhaka, na nikasema kwanini pamoja na hayo mapungufu bado yupo Arsenal hadi leo hii

we kusema kwamba eti Arsenal ni team kubwa kwahiyo haishindwi kureplace mchezaji endapo uwezo ni mdogo hapo unafeli mkuu labda kama huijui Arsenal vizuri na namna inavyoendeshwa na mabosi wake

Kama unashangaa kwa nini eti Xhaka hakuwa replaced kama hakuwa mchezaji mzuri, vipi umewahi kujiuliza ilikuaje pia kwa hawa wachezaji Gibbs, chambers, Walcott,iwobi,mertesacker,Carl Jenkinson, Hector,Nacho,Welbeck ilishindikana kuwa replaced kwa muda mrefu sana vipi nawao walikuwa wachezaji bora?

Xhaka hajawa replaced kutokana na demand ya Team haimfanyi Xhaka aonekane tatizo, Arsenal kwa miaka kibao imekuwa ikicheza kwa lengo la qualification ya UEFA champions league, kwa mahitaji hayo huwezi kuona tatizo la Xhaka mkuu, ila kama Team ina demand more kama kombe la ligi kuu haiwezi kuendelea kuwa na Xhaka kama Kiungo tegemezi

Na sababu ingine kubwa kwa nini Xhaka aliendelea kuwa sehemu ya team ni kwa sababu jamaa alinunuliwa kipindi ambacho mzee Wenger anajaribu kutengeneza team yenye ushindani kumzunguka Xhaka na ndomana Wenger alitumia pesa nyingi kumnunua hadi kuingia kwenye record ya most expensive signing kwa Arsenal

Me naweza kuwa niliandika andiko refu kama ulivosema ila lilikuwa na facts kuhusu uwezo wa Xhaka na sijaona sehemu ambayo we uliongea kuhusu ubora wa Xhaka ispokuwa ulijikita kwenye kumsifia Xhaka Kutokana na uwepo wake kwenye team chini ya makocha 6

Mind you brother, sibishani na mtu, nilitoa maoni kama shabiki wa Arsenal na mpenzi wa mpira kwahiyo siko hapa kumkosoa mtu, nafunga huu mjadala Mkuu
 
Back
Top Bottom