makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,754
- 103,697
Unaposema wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto sio wakabaji wazuri mie nakukatalia, vipi wanaocheza beki 3, tuna beki 5 gabriel anakaba vizuri..Xhaka ni mzuri sana anapokuwepo kwenye timu ila tatizo ni kwamba hizo kadi anazozipata ni kwasababu wachezaji wengi wa miguu ya kushoto huwa sio wazuri kwenye ukabaji wa kunyang'anya mipira hapo ndo utaona shida kubwa ya xhaka vinginevyo ni hali ya gem kuna siku inakubali kuna siku inagoma.
Xhaka ndiye anaemfanya partey afanye vzr kwa kuwa anampunguzia kazi hivyo kazi kubwa inabaki yeye kusambaza mipira kwa viungo wa mbele na washambuliaji. Kwa hilo ebu anza kufuatilia gem kubwa na ngumu ambazo xhaka anakuwa ndani na zile anazokuwa nje uone. Kwangu mimi Xhaka ana ubora mkubwa mno ila basi tu haijawaka kwenye kiwango cha kuwa na mwendelezo
Sijasema xhaka mbovu ina mazuri yake ni machache kuliko mabaya yake kaigharimu mno timu kuliko mazuri yake.