MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
Asante kwa mometi zako.Kwa uandishi wako tu unaonesha na unajipambanua wewe ni rika gani,hebu rudia kusoma ulichokiandika kwanza halafu ndio utaamini kuwa sijakosea kukuita dogo....hebu nioneshe wapi nimekuita boya....
Hizi shule za kata bora zifunguliwe,
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Rasmi nimekuhifafhi kwenye kundu unalolistahili.
Sina cha kukuongezea.



bro msimu wa 3 unafika wanaondoka tunarudi kuanza upya that's football ya sasa hali halisi ndio hiyo
anastahili kupata results ambazo ni chanya