Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

TBF Sijawahi ona kuhusu Arsenal kupeleka ofa kwa Zaha isipokua mara nyingi ikifika dirisha la usajili lazima Zaha atasema anaipenda Arsenal na anataka kuichezea.

Also the reason sikuwazia huu uwezekano ni story iliyopo kati ya United, Zaha na Arsenal ambayo inasababisha Zaha asifuatwe na Arsenal hata iweje.
unabishana na sky sport kuwa arsenaal haikupeleka ofa kwa zaha? tena ilikuwa enz za unai, arsenal waka opt kwenda kwa pepe...

Tena sky sport waliiripoti wakiitoa kutoka kwa fabrizio ,maana ni mfanya kazi wao

Arsenal have reportedly made a bid of £40 million to sign Crystal Palace winger Wilfried Zaha, a player the Eagles value at twice that amount. According to Sky Sports,
 
TBF maana yake ni To Be Fair.

So nimekubali kwamba sijawahi kuona hiyo taarifa na assumptions zangu kwamba Arsenal haijapeleka ofa kwa Zaha hazipo sahihi.

Ila kwakua tupo katika stage ya kutaka kuvimbiana naona umekuja na kunishutumu.
 
Kama ambitions zao sio sawa na za club usitarajie kuendelea kuwaona hapo, miaka mitatu ijayo hawatataka tena kucheza kwa ajili ya pride bali mataji, na wataenda kwenye team zenye nia na mataji.

Mwisho wa uchezaji mchezaji hatawainesha wanae video za wakati akikipiga atataka awaoneshe medali alizoshinda sambamba na hizo video.
Umesema kesho utaleta strength na weaknesses za xhaka, sasa mimi nikajua upo busy huna muda ila hapa naona unaendelea kuchangia kwa kuandika makala ndeeefu!... Kumbe muda unao wa kitosha kabisa... Basi kesho nenda google udownload madesa.... Kwa kuwa ulinitukana, nakukaribisha tena ubwabwaje matusi yako, si unajua domo limezoea kutukana tukana...
 
unabishana na sky sport kuwa arsenaal haikupeleka ofa kwa zaha? tena ilikuwa enz za unai, arsenal waka opt kwenda kwa pepe...

Tena sky sport waliiripoti wakiitoa kutoka kwa fabrizio ,maana ni mfanya kazi wao

Arsenal have reportedly made a bid of £40 million to sign Crystal Palace winger Wilfried Zaha, a player the Eagles value at twice that amount. According to Sky Sports,
Zaha anawafikia kwel saka na mattinelli
 
Umesema kesho utaleta strength na weaknesses za xhaka, sasa mimi nikajua upo busy huna muda ila hapa naona unaendelea kuchangia kwa kuandika makala ndeeefu!... Kumbe muda unao wa kitosha kabisa... Basi kesho nenda google udownload madesa.... Kwa kuwa ulinitukana, nakukaribisha tena ubwabwaje matusi yako, si unajua domo limezoea kutukana tukana...
Umechagua Angle,

Wacha nikuache tu nisipoteze nguvu nyingi.
 
kama timu ina malengo makubwa ,xhaka hafai kuw starter kwa kila mechi lkn anaweza kuw sub nzuri yan bench warmer player kulingana na game itav kuw inaendlea..

madhaifu yake makubwa uwnjani ni :

lack of discipline
lack of concentration
maturity level yake ipo chini mno.
Tuko pamoja katika hili Mkuu
 
Lokonga kutokupata namba mbele ya xhaka, ndio kwamba xhaka ni mzuri?

"Kukosekana kwa waganga watu wanapungwa na walevi"

Ndio hatuna tu mtu wa maana lakini xhaka hana huo ubora katika timu zinazogombea ubingwa xhaka anaanza kikosi gani?
Nakupata vizuri Mkuu kwenye hili na kama Arsenal siku za karibuni itafkia hatua za kupambania kombe la ligi kuu basi ndio utakuwa mwisho wa Xhaka katika first eleven, Mtu mrefu ujijua pindi anaposimama na Mtu mfupi

Kwa sasa anatufaa kulingana na mahitaji ya team na aina ya wachezaji tulionao katika position yake, kwa makosa aliyonayo Xhaka hakuna team kubwa yoyote ambayo ipo katika mbio za ubingwa inaweza kumweka ata sub tu achilia mbali first eleven
 
Kumbe hatupambanii kombe? tunasindikiza ligi tu?OK ok ohh right
 
Kwa maneno yake Bwana Stan

Simuinu ua Arsenal kwa ajili ya Mushinda mataji. Tuendelee kukaa kwa kutulia. .ataji yutayasubiri sana.

May be pale Landani wakichoka hizi siasa na wakapanukisha yule Bingwa auze team may just may be tunaweza kuanza kushinda a tena
 
Back
Top Bottom