Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...cheer up mkuu, we are Arsenal, together we stand!

MKuu jana ilikuwa siku yangu ya kutangaza ubingwa rasmi lol. Ndio maana nilikuwa mnyonge, sasa wamenifanya nisubiri kutangaza ubingwa mechi ya man united tukicheza nao.
 
Vuka kwanza mto kesho ndo uanze kumtukana mamba(makelele).....Thank God hatujafungwa kama ninyi mid week,tungefungwa ndo tungeweza tia adabu lakini tumeambulia japo kapointi kamoja........Binafsi simlalamikii Refa,nawalalamikia wachezaji wetu

Hii ilikuwa ni post yangu kwa Manda........Alimtukana mamba kabla ya kuvuka mto....kilichomtokea jana anakijua mwenyewe
 
kusema ukwel nikifikiria leo baadae ninakosa ucngnz mana dah! Roho ya uoga na kutojiamin inaniingia wakat co kawaida yangu kias kwamba nimekosa ucngz hata kuota nimeshndwa ila vyovyote itakavyo kuwa mm nitabak kuwa ARSENAL na nitaendelea kuSUPPORT ARSENAL DAIMA.
MUNGU IBALIK ARSENAL MUNGU IBALIK THE GUNNERS SUPPORTER amen.
 
...Uwe na Amani, ulale kwa raha zako,
We are the Gunners...

Together We Stand!
 
kwajinsi nilivyoona leo kuna draw hata kama 2tafungwa lakn co kichapo cha mbwa mwiz haitokuwa hvyo ushnd upo nyuma ya kapet

TOGETHER WE ARE THE GUNNERS
 
kusema ukwel nikifikiria leo baadae ninakosa ucngnz mana dah! Roho ya uoga na kutojiamin inaniingia wakat co kawaida yangu kias kwamba nimekosa ucngz hata kuota nimeshndwa ila vyovyote itakavyo kuwa mm nitabak kuwa ARSENAL na nitaendelea kuSUPPORT ARSENAL DAIMA.
MUNGU IBALIK ARSENAL MUNGU IBALIK THE GUNNERS SUPPORTER amen.
He he hee! Mkuu naona umeamua kula kiapo cha milele ili hata mambo yakibuma uwe umeshajifunga!!!
 
Leo nimeona nipite hapa mapema manake akili yote iko hapa.....nitarudi baadaye....!!!!

msichelewe kuja basi mashabiki wenzangu wa Arsenal manake watani watakuja kuendesha jukwaa wao......!!!

Bundi naomba abaki tu huko Manchester United.......akikosea njia aende Chelsea...tupumzike kidogo na sisi!!!

VIVA ARSENAL....PAMOJA DAIMA!!!
 
tuko pamoja mamaaaa wa kwanza wa dunia,ila kiroho cha dunda hicho michelle maana mwanangu mkifungwa atanuna wiki nzima:rain:
 
we acha tu jamani,naomba iwe salama....tukifungwa tu naenda zangu Loliondo manake hali itakuwa si nzuri....pia nataka niwakilishe ARSENAL kwenye kusafisha nyota kule Loliondo......bundi awe anakaa mbali na sisi!!!
 
Hahahahahahahahah nna imani mtawafundisha hawa jamaa mpira japo nanyi hamtabiriki,ila nimeshikilia sehemu muhimu mpaka muda huo mambo yatakuwa kama nnavyotaka,hiyo nauli ya Loliondo ihifadhi vizuri tukapombeke baada ya mechi:rain:
 
we acha tu jamani,naomba iwe salama....tukifungwa tu naenda zangu Loliondo manake hali itakuwa si nzuri....pia nataka niwakilishe ARSENAL kwenye kusafisha nyota kule Loliondo......bundi awe anakaa mbali na sisi!!!

Jiandae tu na kilio Michelle..Naona leo utakuwa na usiku mrefu sana!!..Barca oyeeee
 
we acha tu jamani,naomba iwe salama....tukifungwa tu naenda zangu Loliondo manake hali itakuwa si nzuri....pia nataka niwakilishe ARSENAL kwenye kusafisha nyota kule Loliondo......bundi awe anakaa mbali na sisi!!!

ondoa hofu mamaa michele.hao barca wakae mkao wa kichapo leo tunawapiga 2 wakacheze na wachovu wenzao la liga.
halafu inaelekea una akili sana kwani ARSENAL hakuna wachovu.bundi yupo kwa jirani na sidhani kama atatoka siku za karibuni.
 
Leo nimeona nipite hapa mapema manake akili yote iko hapa.....nitarudi baadaye....!!!!

msichelewe kuja basi mashabiki wenzangu wa Arsenal manake watani watakuja kuendesha jukwaa wao......!!!

Bundi naomba abaki tu huko Manchester United.......akikosea njia aende Chelsea...tupumzike kidogo na sisi!!!

VIVA ARSENAL....PAMOJA DAIMA!!!
tuko pamoja! Arsenal for life
 
jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!
 
Back
Top Bottom