jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!
we acha tu jamani,naomba iwe salama....tukifungwa tu naenda zangu Loliondo manake hali itakuwa si nzuri....pia nataka niwakilishe ARSENAL kwenye kusafisha nyota kule Loliondo......bundi awe anakaa mbali na sisi!!!
Nimesikia hivyo,atacheza....!!
RVP ndani ya Nou Camp mazoezi ya vijana kama kawa pics https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-25.html#post1708030
Hii ilikuwa ni post yangu kwa Manda........Alimtukana mamba kabla ya kuvuka mto....kilichomtokea jana anakijua mwenyewe
habari nzuri sana hizi, kwahio tutakuwa tunamkosa walcott na song peke yake kesho kama rvp ata pass fitness test.
kusema ukwel nikifikiria leo baadae ninakosa ucngnz mana dah! Roho ya uoga na kutojiamin inaniingia wakat co kawaida yangu kias kwamba nimekosa ucngz hata kuota nimeshndwa ila vyovyote itakavyo kuwa mm nitabak kuwa ARSENAL na nitaendelea kuSUPPORT ARSENAL DAIMA.
MUNGU IBALIK ARSENAL MUNGU IBALIK THE GUNNERS SUPPORTER amen.
...Uwe na Amani, ulale kwa raha zako,
We are the Gunners...
Together We Stand!
Hivi Van Persie leo atacheza?? Maana bila yeye sijui kama tutapona kwa barca..
Nimesikia hivyo,atacheza....!!
Leo nimeona nipite hapa mapema manake akili yote iko hapa.....nitarudi baadaye....!!!!
msichelewe kuja basi mashabiki wenzangu wa Arsenal manake watani watakuja kuendesha jukwaa wao......!!!
Bundi naomba abaki tu huko Manchester United.......akikosea njia aende Chelsea...tupumzike kidogo na sisi!!!
VIVA ARSENAL....PAMOJA DAIMA!!!
Hahahahahahahahah nna imani mtawafundisha hawa jamaa mpira japo nanyi hamtabiriki,ila nimeshikilia sehemu muhimu mpaka muda huo mambo yatakuwa kama nnavyotaka,hiyo nauli ya Loliondo ihifadhi vizuri tukapombeke baada ya mechi:rain:
ondoa hofu mamaa michele.hao barca wakae mkao wa kichapo leo tunawapiga 2 wakacheze na wachovu wenzao la liga.
halafu inaelekea una akili sana kwani ARSENAL hakuna wachovu.bundi yupo kwa jirani na sidhani kama atatoka siku za karibuni.
tuko pamoja! Arsenal for life
jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!
All the best arsenal! Pamoja saana!
leo ili kuthibitisha kuwa tunaweza na hatubatishi tuwadungue hawa barca. nitajipa zawadi ya whisky!! al the best gunaz
i will be there for u.. whatever the results
that is not a gud gamble.. anyway lets wait and see
Haa haa aha,mguu wenyewe atakaochezea wa kulia,kuna kazi tena hapo?Messi leo anacheza kwa mguu mmoja na usoni anafungwa kitambaa!
jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!
Denilson ni better option,diaby ana ball control nzuri sana lakini huwa anapooza sana game,ni mzito wa kuchukua maamuzi ya haraka hasa kwenye counter attacks,bw mdogo denilson ni mwepesi,ana pumzi ya kutosha, ana uwezo wa kuhold mashambulizi ingawa anakuwaga na rafu za hapa na pale nampa tano aanze yeye kama vp diaby aingie kama sub%%
Jiandae tu na kilio Michelle..Naona leo utakuwa na usiku mrefu sana!!..Barca oyeeee
mmmmmhhhh Belinda, unataka tu kuja kushinda hapa usiku ukitoa pole, lets wait and see....Arsenal Oyeee!!!
khe khe khe khe nasikia wanoko flani wa timu ya Manure na Chelsick ati leo hawakulala kisa wananichubiri wakati wa huu mpambano Wacha muda ufike ndipo watakapojua zipi ni mbivu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wachezaji wetu hawanywi togwa wanapokwenda kwenye mpambano wala kubugia unga. Si mliona jinsi togwa ilivyomuharibu Wine Romney na Nani? Au vile cash Cole anavyowatungua mashabiki wa mafioso khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
na wewe nilifikiri ni mjanja kumbe
wachezaji wetu hawanywi togwa wanapokwenda kwenye mpambano wala kubugia unga. Si mliona jinsi togwa ilivyomuharibu Wine Romney na Nani? Au vile cash Cole anavyowatungua mashabiki......
Yani nimeanza kushinda thread hii kuanzia asubuhi, usiku ndio sitaondoka kabisa kuomboleza nanyi!!...Michelle naomba usikimbie wakati wa mechi!!..Barca Juu!!