Kama ndio hivyo nahisi watu wangegoma kucheza EPL maana kusingekuwa na ushindani maana MAN UTD wamenunua FA aaaaahaah kweli kushindwa kubaya hadi umefikia hatua hii.Hiyo ilikuwa ni kawaida wanawahara sana Arsenal lakini mwaka huu patachimbika tu.
Mkuu mpira wa kusimuliwa au kuuona ... ..Wacha ngebe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu kwani hufahamu the Home of Arsenal .... ...... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu nyinyi mnatoa Brown envelopes kwani ni siri? Usiongee kama upo kwenye kijiwe cha kahawa. 1 sio sawa na 0. khe khe kheeeeeeeeeeee
Mlichonga sana mechi ya kwanza na wala hamkujifunza chacha wewe unashabikia timu gani? Kama huwezi kuwafunga Barca kama Arsenal fyata mkia ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu kila timu ina mechi 38 sasa hii notion ya kusema utegemee wenzako inatoka wapi? mfano hao hao Sunderland waliwabamiza Chelsick Darajani sisi tumepata point moja baada ya makosa ya marefa Ooops baada ya kuchukua bahasha kutoka kwa Chelsick na Manure ili watucheleweshe lakini tupo ngangari usiwe na hofu.
Chance ya kunyimwa ushindi wacha majungu!
Arsenal yaani ni kama academy tu sasa sijui lini washabiki watavuna vikombe......maana sasa akiumia RVP,FAB,WALCT hamna timu.