</p>Nomaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaa, hawa marefa wa premier wanajua kuua duh. Waletwe mchangani mara moja moja tuwatie adabu.
Hahahahahaaaa! mtatia adabu wiki hii, tulipokuwa twalalamika sie mid week na Atkson wetu mkawa mwacheka. Wikend ii zamu yenu. Khe kheeeeeeeee!
Man Utd wakati wanalalamika hawa jamaa walisema tumezoea sasa leo they tasted their own medicine.........aaaahaaaah jamani mechi ya barca haiwezi kuwa j3:rain::rain:<p></p>
<p> </p>
Leo ndo unagundua hilo?, ila wakiboronga mechi za Man Utd mnaona sawa tuuu! hahahahaha! kwa mnavojua kuchonga wiki yote hii topic kuu itakuwa kuwaponda marefa wa EPL.
imekula kwenu hyo Gonaz.
singalii tena game ipo unfair kinyama.. :A S angry:
Poleni Gunners wenzangu......Ukweli ni kwamba timu yetu haiko kiushindani kivile,game ya leo tumezembea wenyewe,washambuliaji wetu hawako makini hata kidogo.......Tulipewa nafasi ya kumkaribia Man Utd tumechezea.......Naanza kushawishika kwamba mwka huu ubingwa ni wa Man Utd japo it's not over till it's over..............Inaniuma sana nikifikiria...........
Yaani kesho ni dose tu kwa liverpool yaani ushindi wetu,GLORY MAN UTDAny ways .. it was a nice foooty from young gooners .. good work lads.. finger crosSed I hope Liverpool will whoop manutd`S A$$$ KESHO :hand::hand::hand::hand::hand::hand:
Man Utd wakati wanalalamika hawa jamaa walisema tumezoea sasa leo they tasted their own medicine.........aaaahaaaah jamani mechi ya barca haiwezi kuwa j3:rain::rain:
AW, Mbu and Co.
Anzeni kuwawaza Barca na sio us8ng8 wa kibenderana ref. wa leo.
Nasikia Barca wanataka kuwafanyie operation ya busha badala ya mkono. Lol!