Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

5500192456_b31e4281b4.jpg
 
highlight ya game

[video]http://videa.hu/videok/sport/ars0-0sun-HScExbE0sqs1FLN1[/video]
 
Swali la kizushi;

Hivi ni kwa nini sredi maalum ya Arsenal ina Replies na Views mingi ukilinganisha na Sredi za vilabu vingine vya Bigi foo?...........tehe tehe..........lols

Sticky: Arsenal Special Thread Replies: 10,333
Views: 135,089

Sticky: The Chelsea FC Thread Replies: 5,351
Views: 76,529

Sticky: Man U... Red Devils Hatushikiki Replies: 4,295
Views: 69,705

Sticky: Liverpool FC, Special thread Replies: 2,100
Views: 29,291

Ni kaswali ka kizushi tu wakuu wangu
 
A few more afternoons like this and Arsenal's wait for a first Premier League title since 2004 is almost certainly going to run into an eighth year!!

Well, Chelsea na Liverpool watawasaidia Arsenal kuchukua ubingwa kwa kuwakandamiza Man U ONLY IF Arsenal watakuwa serious na kushinda mechi zao.
 
Hahahaha!! Kwa sababu kuna wazushi wengi kwenye jamvi lenu mkuu, ukijaribu kuangalia vizuri zaidi ya nusu hizo posts za Arsenal hazina substance zaidi ya khe khe kheeeee nyingi tu!!
 
Naangalia mechi ya Barcelona vs Real Zaragoza, halftime Barca wanaongoza 1-0 na wanapiga wa kufa mtu....jiandaeni J4.
 
A few more afternoons like this and Arsenal's wait for a first Premier League title since 2004 is almost certainly going to run into an eighth year!!

Well, Chelsea na Liverpool watawasaidia Arsenal kuchukua ubingwa kwa kuwakandamiza Man U ONLY IF Arsenal watakuwa serious na kushinda mechi zao.

Mkuu Consultant, hawa jamaa hawabebeki kirahisi usishangae wakamaliza ligi wakiwa wa 3 au chini ya hapo.
 
Swali la kizushi;

Hivi ni kwa nini sredi maalum ya Arsenal ina Replies na Views mingi ukilinganisha na Sredi za vilabu vingine vya Bigi foo?...........tehe tehe..........lols

Sticky: Arsenal Special Thread Replies: 10,333
Views: 135,089

Sticky: The Chelsea FC Thread Replies: 5,351
Views: 76,529

Sticky: Man U... Red Devils Hatushikiki Replies: 4,295
Views: 69,705

Sticky: Liverpool FC, Special thread Replies: 2,100
Views: 29,291

Ni kaswali ka kizushi tu wakuu wangu
nusu ya hiz post ni utumbo au ziko mahali pasipo pake mfano mzuri ni hii post yako. Majibu mengine unayo mwenyewe i.e. mnaongea sana, washabiki wa timu zingine wanakuja hapa kuwafariji kila mnapokosa vikombe etc etc.
Swali la kizushi tangu jf ianzishwe arsenal imechukua kikombe mara ngapi?
 
Kwa hiyo kipimo chako ni JF .... ... pole sana ''you should've gone to spec savers'' Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
nusu ya hiz post ni utumbo au ziko mahali pasipo pake mfano mzuri ni hii post yako. Majibu mengine unayo mwenyewe i.e. mnaongea sana, washabiki wa timu zingine wanakuja hapa kuwafariji kila mnapokosa vikombe etc etc.
Swali la kizushi tangu jf ianzishwe arsenal imechukua kikombe mara ngapi?

Arsenal haijachukua kombe tangu JF imeanzishwa mkuu.....

Cha ajabu ni kwamba kuna members humu ambao si mashabiki wa Arsenal wana post nyingi katika sredi hii maalumkwa Arsenali kuliko zile zilizopo katika sredi za timu za........kutwa kucha wapo Imarati.....lol

Halafu,si vibaya tukiongea sana maana ni jukwaa letu so tuache tongee kwa kujinafasi na faraja hailazimishwi mkuu wangu
 
Mkuu Consultant, hawa jamaa hawabebeki kirahisi usishangae wakamaliza ligi wakiwa wa 3 au chini ya hapo.

Ushaona jinsi Mende anavoangusha kabati ama Mbuzi anavomla mbwa?..........Subiri jumanne ujionee
 
Leo mzee alikuwa amechoshwa kabisa na namna marefa walinyokuwa waki-perform.

[
Goli la Arsenal lilikataliwa na refa bwana Taylor.

Hiyo ilikuwa ni kawaida wanawahara sana Arsenal lakini mwaka huu patachimbika tu.

Kumbe mlitaka mpewe goal la offside

Mkuu mpira wa kusimuliwa au kuuona ... ..Wacha ngebe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nasubiri pics za mtani wangu Wacha1 boy!

Mkuu kwani hufahamu the Home of Arsenal .... ...... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Man Utd wakati wanalalamika hawa jamaa walisema tumezoea sasa leo they tasted their own medicine.........aaaahaaaah jamani mechi ya barca haiwezi kuwa j3:rain::rain:

Mkuu nyinyi mnatoa Brown envelopes kwani ni siri? Usiongee kama upo kwenye kijiwe cha kahawa. 1 sio sawa na 0. khe khe kheeeeeeeeeeee

Mpira mliocheza leo inabidi mlienda kwa barca mbadilishe mchezo,maana mnaweza kuchapwa nyingi kule.....

Mlichonga sana mechi ya kwanza na wala hamkujifunza chacha wewe unashabikia timu gani? Kama huwezi kuwafunga Barca kama Arsenal fyata mkia ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

haya mambo ya kuchukua kombe kwa kutarajia wenzio washindwe ni mabaya sana.....hapa sasa sie tunaombea Liver washinde kesho......kila la kheri kwao......

Mkuu kila timu ina mechi 38 sasa hii notion ya kusema utegemee wenzako inatoka wapi? mfano hao hao Sunderland waliwabamiza Chelsick Darajani sisi tumepata point moja baada ya makosa ya marefa Ooops baada ya kuchukua bahasha kutoka kwa Chelsick na Manure ili watucheleweshe lakini tupo ngangari usiwe na hofu.

Mkuu ndio hivyo leo wameshindwa kutumia chance yao waliyopewa.....

Chance ya kunyimwa ushindi wacha majungu!
 
Swali la kizushi;

Hivi ni kwa nini sredi maalum ya Arsenal ina Replies na Views mingi ukilinganisha na Sredi za vilabu vingine vya Bigi foo?...........tehe tehe..........lols

Sticky: Arsenal Special Thread Replies: 10,333
Views: 135,089

Sticky: The Chelsea FC Thread Replies: 5,351
Views: 76,529

Sticky: Man U... Red Devils Hatushikiki Replies: 4,295
Views: 69,705

Sticky: Liverpool FC, Special thread Replies: 2,100
Views: 29,291

Ni kaswali ka kizushi tu wakuu wangu

Hahahaha!! Kwa sababu kuna wazushi wengi kwenye jamvi lenu mkuu, ukijaribu kuangalia vizuri zaidi ya nusu hizo posts za Arsenal hazina substance zaidi ya khe khe kheeeee nyingi tu!!

nusu ya hiz post ni utumbo au ziko mahali pasipo pake mfano mzuri ni hii post yako. Majibu mengine unayo mwenyewe i.e. mnaongea sana, washabiki wa timu zingine wanakuja hapa kuwafariji kila mnapokosa vikombe etc etc.
Swali la kizushi tangu jf ianzishwe arsenal imechukua kikombe mara ngapi?

Hahahahaha!! Yaani pamoja na kwamba Arsenal hawajachukua kombe tangu JF ianzishwe lakini bado wanaongoza kwa posts za kizushi, itakuwa vipi wakichukua kombe?!
 
Swali la kizushi;

Hivi ni kwa nini sredi maalum ya Arsenal ina Replies na Views mingi ukilinganisha na Sredi za vilabu vingine vya Bigi foo?...........tehe tehe..........lols

Sticky: Arsenal Special Thread Replies: 10,333
Views: 135,089

Sticky: The Chelsea FC Thread Replies: 5,351
Views: 76,529

Sticky: Man U... Red Devils Hatushikiki Replies: 4,295
Views: 69,705

Sticky: Liverpool FC, Special thread Replies: 2,100
Views: 29,291

Ni kaswali ka kizushi tu wakuu wangu

Simply we are the best!! bra we bring that sensation on the field none of the other lads Do..
 
Hahahahaha!! Yaani pamoja na kwamba Arsenal hawajachukua kombe tangu JF ianzishwe lakini bado wanaongoza kwa posts za kizushi, itakuwa vipi wakichukua kombe?!
hahah mkuu wewe ulilielewa swali langu...
 
Back
Top Bottom