Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Leo mtanena kwa LUGHA zote kama Nabii Mwingira (Kakobe);lakini...............(Narudi hapa badae kidogo na jibu lenu)
Luis Suarez+Dirk Kuyt=?
Leo mtanena kwa LUGHA zote kama Nabii Mwingira (Kakobe);lakini...............(Narudi hapa badae kidogo na jibu lenu)
khe khe khe khe nasikia wanoko flani wa timu ya Manure na Chelsick ati leo hawakulala kisa wananichubiri wakati wa huu mpambano Wacha muda ufike ndipo watakapojua zipi ni mbivu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wachezaji wetu hawanywi togwa wanapokwenda kwenye mpambano wala kubugia unga. Si mliona jinsi togwa ilivyomuharibu Wine Romney na Nani? Au vile cash Cole anavyowatungua mashabiki wa mafioso khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Lionel Messi........................Kila nikilikumuka hili jina amani yanitoweka kabisa.....hasa nikikumbuka what happened in our last visit pale Nou Camp..............................aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
Leo nimeona nipite hapa mapema manake akili yote iko hapa.....nitarudi baadaye....!!!!
msichelewe kuja basi mashabiki wenzangu wa Arsenal manake watani watakuja kuendesha jukwaa wao......!!!
Bundi naomba abaki tu huko Manchester United.......akikosea njia aende Chelsea...tupumzike kidogo na sisi!!!
VIVA ARSENAL....PAMOJA DAIMA!!!
mkuu ukiniona kwenye sredi ya ze gooners ujue kuna balaa linakuja. kwa ufupi furahia kabisa. kuna mvua iko njiani leo. heheheh acha nizungushe antennaSimchezo, naona kila mtu kajiandaa tofauti na mechi ya leo. Mie nimeamua kutuliza presha kwa kusema "litakalo tokea litokee" manake kuna possibility 2 tu ya matokeo.
Wakuu wenzangu tutakua pamoja mwanzo mpaka mwisho, naona wanga washaanza kutanda na tunguli zao ha ha ha ha.
Leo ndiyo leo wakuu The Gunners!!....huhhhuuu
Wacha1 leo mapicha usiache kubandika baada ya mechi dhidi ya Barca..Manure tutakuwa nanyi kuomboleza🙂) eniwei, hatuombeani mabaya ha ha ha ....ni kandanda tu au siyo!!..
Jamani....natamani kulia kila nikiwaza kifo cha rafiki yetu mpendwa Arsenal badae Nuo Camp..kwi kwi kwi kwi kwiiiii! iiiiiiii!, aaaaaaaaa! uwiiiiiiiiii!
mkuu ukiniona kwenye sredi ya ze gooners ujue kuna balaa linakuja. kwa ufupi furahia kabisa. kuna mvua iko njiani leo. heheheh acha nizungushe antenna
Usiwe na wasi wasi jeshi lote la gunners litakuwepo hapa leo.
Mkuu MBU yupo wapi???mimi nimeshaingia hapa mapema kabisa,tutakuwa pamoja guys......maana nasubiria nikiona leo mtakavyo nyweshwa mbege.....