Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...Damn, Game ya leo imetawaliwa na Manchester United kuanzia Steve Bruce defensive tactics, Referee na Linesman wake,
I hope Sunderland will be relegated 😛ray:

Together We Stand Wakuu,
it could have been worse, huyu refa angeweza hata kuwapa penalty hawa Sunderland
Sasa ni safari kuelekea Camp Nou!...kuna kila dalili tutashinda, Yes We Can!!!
nyie vipi ebo! Mshindwe kufunga wenyewe lawama muibebeshe man utd?
 
Poleni Gunners wenzangu......Ukweli ni kwamba timu yetu haiko kiushindani kivile,game ya leo tumezembea wenyewe,washambuliaji wetu hawako makini hata kidogo.......Tulipewa nafasi ya kumkaribia Man Utd tumechezea.......Naanza kushawishika kwamba mwka huu ubingwa ni wa Man Utd japo it's not over till it's over..............Inaniuma sana nikifikiria...........

Mkuu ni sawa lakini usisahau Arsenal imecheza game nyingi sana wiki hizi zilizopita na wachezaji wengi wana fatigue. Timu kama Sunderland ambao hawajacheza sana leo walikuwa fresh na hata Chelsea walipocheza na Man United walionekana wamepumzika vya kutosha.

Arsenal sasa hivi wana tatizo la wachezaji kuchoka, lakini hio inasababishwa na uzembe wa wachezaji wenyewe kutomaliza game iwe ya FA au Carling Cup na mzee Wenger anajua hilo.

Kuna mechi kumi zimebaki ambazo zote ni ngumu na zinahitaji wachezaji wawe wapo fit.

Kuna FA cup robo fainali tarehe 12 March na Man United. Kwahio sijui mzee Wenger amejiandaa vipi wote twasubiri. Halafu na Barcelona tarehe 8 March hatuwezi kuipa matumaini endapo Fabregas, Van Persi na Walcott hawatacheza.
 
Yaani kesho ni dose tu kwa liverpool yaani ushindi wetu,GLORY MAN UTD

...keep on dreaming, ...typical 'Manure' Fans, "Counting Chickens Before They Hatch...!"

dont-count-chickens-before-they-hatch-thumb9329861.jpg
 
Mkuu ni sawa lakini usisahau Arsenal imecheza game nyingi sana wiki hizi zilizopita na wachezaji wengi wana fatigue. Timu kama Sunderland ambao hawajacheza sana leo walikuwa fresh na hata Chelsea walipocheza na Man United walionekana wamepumzika vya kutosha.

Arsenal sasa hivi wana tatizo la wachezaji kuchoka, lakini hio inasababishwa na uzembe wa wachezaji wenyewe kutomaliza game iwe ya FA au Carling Cup na mzee Wenger anajua hilo.

Kuna mechi kumi zimebaki ambazo zote ni ngumu na zinahitaji wachezaji wawe wapo fit.

Kuna FA cup robo fainali tarehe 12 March na Man United. Kwahio sijui mzee Wenger amejiandaa vipi wote twasubiri. Halafu na Barcelona tarehe 8 March hatuwezi kuipa matumaini endapo Fabregas, Van Persi na Walcott hawatacheza.

Mkuu hao wachezaji wawili hapo ndio ngo ya Arsenal maana hata leo nilijuwa tu kushinda itakuwa ngumu sana kwao ...maana hao ndio kila kitu....
 
Mkuu Richard bora wewe unaongea open na unajuwa situation ya mpira bila hao wachezaji 3 kila kitu kinakuwa ovyo kabisa......
 
nyie vipi ebo! Mshindwe kufunga wenyewe lawama muibebeshe man utd?

...HA HA HA! Acha tu nicheke bro,...nice one!
E bana nyie mna mkono mrefu bana, ...kuanzia media influence, mpaka washika vibendera, Referees na makamisaa wa mchezo...

images

pulis-refs.jpg
 
Pole jirani kwa kudondosha points lakini bado ligi inaendelea, it looks like we might have a chance to gate-crash.

Asante jirani......Kwa staili hii you may have a chance of gate-crashing aisee.....Cha msingi Liver(mgonjwa) afe na nesi(Man utd/Moro Utd) hiyo kesho......Binafsi naona bado mna nafasi
 
Pole jirani kwa kudondosha points lakini bado ligi inaendelea, it looks like we might have a chance to gate-crash.

...ha ha ha, Bring it on Peasant...bila Chelsea na Liverpool kwenye Top four, ushindani umepwaya msimu huu.
Jitahidini bana muwaondoe hawa 'tress-passers' Man City.
 
Mkuu ni sawa lakini usisahau Arsenal imecheza game nyingi sana wiki hizi zilizopita na wachezaji wengi wana fatigue. Timu kama Sunderland ambao hawajacheza sana leo walikuwa fresh na hata Chelsea walipocheza na Man United walionekana wamepumzika vya kutosha.

Arsenal sasa hivi wana tatizo la wachezaji kuchoka, lakini hio inasababishwa na uzembe wa wachezaji wenyewe kutomaliza game iwe ya FA au Carling Cup na mzee Wenger anajua hilo.

Kuna mechi kumi zimebaki ambazo zote ni ngumu na zinahitaji wachezaji wawe wapo fit.

Kuna FA cup robo fainali tarehe 12 March na Man United. Kwahio sijui mzee Wenger amejiandaa vipi wote twasubiri. Halafu na Barcelona tarehe 8 March hatuwezi kuipa matumaini endapo Fabregas, Van Persi na Walcott hawatacheza.

Mkuu lakini lazima tukumbuke kama tunataka ubingwa basi utapatikana kwa kuweza ku-overcome yote hayo uliotaja na ndio ubora watimu hapo unapopatikana.

Hii stage tuliokuwepo sasa hivi tunafika miaka nenda rudi, game kama hii ya leo ndio huwa zina tu-cost na mwisho wa siku tunajikuta ghafla tumeambulia mikono mitupu.

Tuangalie mbele manake timu kufanikiwa kuna mchanganyiko wa mambo mengi sana unatakiwa na mimi bado nalia na replacement zetu wakati tunakuwa na injury za mastaa bado hawajaweza kubeba majukumu .
 
Mabeki wa Sunderland John Mensah na Antony Ferdinand leo walikula kiapo cha kuhakikisha Arsenal na hasa Bendtner hafurukuti.
 
...HA HA HA! Acha tu nicheke bro,...nice one!
E bana nyie mna mkono mrefu bana, ...kuanzia media influence, mpaka washika vibendera, Referees na makamisaa wa mchezo...

images

pulis-refs.jpg
heheheh mtani media gani unayoizungumzia manchester evening news? Maana outlet zote za london zinakwenda kwa jina la ABU Media...sky wanachuki na man utd kwa sababu rupert alitoswa wakati anataka kununua timu, daily mail na the sun wanaongoza kwa kuismear man utd..etc etc.
 
Mabeki wa Sunderland John Mensah na Antony Ferdinand leo walikula kiapo cha kuhakikisha Arsenal na hasa Bendtner hafurukuti.

Bramble nae kakipiga leo, game ilikuwa na mchanganyiko wa kila kitu lol. Wachezaji wetu wajifunze kujenga mashambulizikuanzia mapema sio wamesubiri mpaka mwisho mwisho ndio wanaonesha nia.
 
Mkuu lakini lazima tukumbuke kama tunataka ubingwa basi utapatikana kwa kuweza ku-overcome yote hayo uliotaja na ndio ubora watimu hapo unapopatikana.

Hii stage tuliokuwepo sasa hivi tunafika miaka nenda rudi, game kama hii ya leo ndio huwa zina tu-cost na mwisho wa siku tunajikuta ghafla tumeambulia mikono mitupu.

Tuangalie mbele manake timu kufanikiwa kuna mchanganyiko wa mambo mengi sana unatakiwa na mimi bado nalia na replacement zetu wakati tunakuwa na injury za mastaa bado hawajaweza kubeba majukumu .

Sawasawa kabisa.

Mimi naamini kwamba Arsenal itachukua moja ya makombe ambayo inayatafuta, lakini hii club ina macho yanaiangalia kutoka pande zote nchi nzima ya UK.

Halafu pia ni timu ilio na wachezaji wengi wageni na kocha wake ni mgeni, kwahio suala la foreign legion limekuwa likizungumzwa sana.

Wale wapenzi wa mpira wanaoishi Ulaya wataelewa hili.
 
...ha ha ha, Bring it on Peasant...bila Chelsea na Liverpool kwenye Top four, ushindani umepwaya msimu huu.
Jitahidini bana muwaondoe hawa 'tress-passers' Man City.

Ninyi endeleeni kuchemsha mkishtuka tuko juu yenu!
 
Leo mzee alikuwa amechoshwa kabisa na namna marefa walinyokuwa waki-perform.

109790540.jpg

Arsenal boss Arsene Wenger.

Goli la Arsenal lilikataliwa na refa bwana Taylor.
 
Back
Top Bottom