Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
Huyu kipa wao vipi? lol dogo naona anataka ku-keep namba nio mambo tunayosema ukipewa nafasi tumia.save nzuri sana.
Mkuu hapo leo naona kuomba mungu tu hata droo inawatosha sana.....
Huyu kipa wao vipi? lol dogo naona anataka ku-keep namba nio mambo tunayosema ukipewa nafasi tumia.save nzuri sana.
Chamakh anagonga mwamba! Cross nzuri ya Wilshere inapotea bure.
Jack Wilshere na Samir Nasri wanapika mashambulizi lakini wapi bwana Sunderland wanaangalia sare zimebakia dakika 15.
Thomas Rosicky anambadilisha Vasiriki Diaby zimebaki dakika 13.
Naona AW anataka kupaa......haaahaaa Mbu upo mtu wangu.