Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Noma sana kwenda half time bila goli. Sunderland wamenitupa uhuru sema sie wenyewe tumeshindwa kutumia nafasi zetu na tunaweza kujuta.
...worry you not mkuu, kuna kajitabia ka wachezaji wetu kulemaa halafu wana chase the game,...wakishafungwa wanapata wake up call, tatizo mazoea mabaya...kuna team wakishafunga moja wana "park-a-bus" golini kwao.
Arsene Wenger kaanza na 4-5-1, ...sijui kusudio lake lilikuwa nini, ...I hope 2nd half tutaona mabadiliko/matunda ya 1st half formation... it's a Roller Coaster maazee, lets enjoy the ride.
45 mins to go.........
...'tick-tok-tick'...keep on counting Navoyne 🙂
Bundi leo lazima atue Emirata....
...e bana wee, hizo dua zako hizoo?...! ha ha ha