Hadi wewe nguli wa arse8 unamkataa marehemu??!! ama kweli huyu mwendazake amechokwa..hii bora mfukie tuu
Hahahaha sema wana kimdomo sana wakishinda au kutowa sare hiyo game hakutapoa Hapa jf.Hawa n wa kusokomezwa tuu
Arsenal haijui inataka niniHadi wewe nguli wa arse8 unamkataa marehemu??!! ama kweli huyu mwendazake amechokwa..
Process ya kushuka darajaarteta anakwambia trust the process
ni process gani hiyo sasa?
Nahisi litanikuta hili jambo leo

🙄🙄🤔Mkuu vip. Mbili hizo zinatosha au tuongeZe tena![]()
Weka sawasawa hivi, unasajili Ramsdale ambaye kashashuka na timu mbili mfululizo halafu utegemee wewe ubaki EPL??Kiongozi tangia last season tumepayuka sana humu jukwaani Arsenal kwa kocha huyu na wachezaji hawa hawa bila kumfukuza Arteta na kupata kocha bora wa kiwango cha dunia na kusajili Big players(nasisitiza Big players) Arsenal kuna siku itashuka Daraja,wengine wakasema sisi Mamluki, mfano unampaje Smith Row jezi namba 10ukiaminisha kuwa ana majukumu ya kuibeba Arsenal seriously?wametajwa kina Madisson mara kibao unaenda kumbeba Odeegard ambaye Real Madrid hata namba hapati?nani kaangalia Bissouma alivyocheza jana?jamaa kajipendekeza sana Arsenal lakini wapi!unaendaje kutoa hela ndefu kwa Ben White wakati una Saliba anazurura kwa mkopo na Arsenal alitoa hela ndefu kumnunua?fine unalipaje hela ndefu kwa Ramsdale kuwa kipa wa akiba?
,wajanja tuliona Edu,Kroenke na Arteta(anayejifanza mdogo wake Pep)kuna janga kubwa wanataka kulileta Arsenal, Aaron akasepa zake Manchester City
Dully hata hajulikani alipo kapiga kimya,nikaona PSG si ipo na wapo serious tatizo lipo wapi mimi kuhama Arsenal fasta ,naingia humu kuwajulia hali ndugu zangu next Saturday ni Manchester City (Grealish,Sterling, Mahrez)jamani jamani jamani acha niishie hapa
Mechi itakayofuata jumamopsi ijayo atasema pia hiviMikel Arteta: "Chelsea were too good for us today. They have world class players and world class organisation. That's why they are the European Champions."
Pole sana Mkuu, Andamaneni " KROENKE OUT" ili afukuzwe aje tajiri mwingine ndipo atamleta Kocha Antonio Conte hapo Arse8Ni masononeko na masikitiko kumuona Antonio Conte Hana timu ya kufundisha,at a same time arteta Ni kocha wa arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app

Sio Hilo tu bro, unasahau jingine la kushangaza. anamuondosha William Saliba then anamuacha Pablo Mari kutuaminisha hakukosea kumsajili.May be time will come and the team will start to win but in no way that will mean Arteta is a fine coach for a club like arsenal.
Kuna baadhi ya makosa yanakuwa hayana way out, wewe fikiria tu. Jamaa amekuja kama kocha and within no time eti amekuwa Manager, alarm bell ikaanza kulia pale pale.
How in hell would you let someone like Guendouzi leave and instead sign Lukonga?? Tunaangalia vitu gani haswa huwa?? Hahaahah