Mechi inaendelea vizuri, arsenyanye 3 : 2 ChelseaNikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
lokongaWe are doing fine.
Hakuna hata haja ya Sala, hapa tunafukia kama pampas zinavofukiwaKwaiyo hii maiti tunafuata taratibu za maziko au tunafukia tuu??
Fukieni tuKwaiyo hii maiti tunafuata taratibu za maziko au tunafukia tuu??

Tabia mbaya hiyo, unataka kusema arsenyanye hawana nini 😁😁
Guendouz ana sifa moja tu, fighting spirit, ukitoka hapo hana kingine na ni mzito kuimprove.May be time will come and the team will start to win but in no way that will mean Arteta is a fine coach for a club like arsenal.
Kuna baadhi ya makosa yanakuwa hayana way out, wewe fikiria tu. Jamaa amekuja kama kocha and within no time eti amekuwa Manager, alarm bell ikaanza kulia pale pale.
How in hell would you let someone like Guendouzi leave and instead sign Lukonga?? Tunaangalia vitu gani haswa huwa?? Hahaahah
Hii noma ya Leo ishakwisha tuna uhakika next game hamutotuangusha tutakuwa bega kwa bega kuwapigania najua man Shityee ni mchumba tu kwenu.Kiongozi tangia last season tumepayuka sana humu jukwaani Arsenal kwa kocha huyu na wachezaji hawa hawa bila kumfukuza Arteta na kupata kocha bora wa kiwango cha dunia na kusajili Big players(nasisitiza Big players) Arsenal kuna siku itashuka Daraja,wengine wakasema sisi Mamluki, mfano unampaje Smith Row jezi namba 10ukiaminisha kuwa ana majukumu ya kuibeba Arsenal seriously?wametajwa kina Madisson mara kibao unaenda kumbeba Odeegard ambaye Real Madrid hata namba hapati?nani kaangalia Bissouma alivyocheza jana?jamaa kajipendekeza sana Arsenal lakini wapi!unaendaje kutoa hela ndefu kwa Ben White wakati una Saliba anazurura kwa mkopo na Arsenal alitoa hela ndefu kumnunua?fine unalipaje hela ndefu kwa Ramsdale kuwa kipa wa akiba?
,wajanja tuliona Edu,Kroenke na Arteta(anayejifanza mdogo wake Pep)kuna janga kubwa wanataka kulileta Arsenal, Aaron akasepa zake Manchester City
Dully hata hajulikani alipo kapiga kimya,nikaona PSG si ipo na wapo serious tatizo lipo wapi mimi kuhama Arsenal fasta ,naingia humu kuwajulia hali ndugu zangu next Saturday ni Manchester City (Grealish,Sterling, Mahrez)jamani jamani jamani acha niishie hapa
Kwani wewe ulikuja na zile H2H zako ulikuwa na uhakika arteta atashinda kwa hiyo muamini kocha wako atawapa ubingwa nyie arse8Ni masononeko na masikitiko kumuona Antonio Conte Hana timu ya kufundisha,at a same time arteta Ni kocha wa arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi etihad nitakuwa pamoja na hawa takataka.Movie lingine la kutisha litapatikana Etihad
Boss, huu ni msimamo wa mwaka gani mbona arsenal yupo wa 19 😁😁
Hawa n wa kusokomezwa tuuMkuu Mimi etihad nitakuwa pamoja na hawa takataka.
hii bora mfukie tuuKwaiyo hii maiti tunafuata taratibu za maziko au tunafukia tuu??