Hziyech22 itakua umeruka pages nyingi so haujaona nilichoandika.
Chelsea haishindi kwakua ina world class players. Inashinda kwa sababu ina morali na inacheza as a unit. Wachezaji mlionao jana ndiyo walikuepo kipindi cha Lampard kipindi cha suluhu, walikuepo Arsenal alivyoshinda mara ya kwanza na ya pili na ya tatu, walikuepo wakati West bromwich anaifunga chelsea 5.
Kwa mechi za jana tu kuna timu nyingi zina world class players na zimesuluhu, juzi zipo zilizofungwa. Kwa maoni yangu morali na timu nzima kua in a fluid movement ndiyo kinapelekea ushindi. Arsenal kwa sasa haipo hivyo, lakini ni ngumu kocha kukiri timu yake haina morali.