Nigga is madduuh
mbona kama maneno ya vibarazani
Nigga is madduuh
mbona kama maneno ya vibarazani
Tunaona bora twendelee na utaratibu wa kufungika ili wabosi akili iwakae sawa, ikiwezekana tushuke tu daraja halafu akili nzuri na ubahili utatuondoka au we mwenzetu unaoanaje?Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?

Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
hakikaHuwezi kushinda mechi na wachezaji aina ya Balogun na Smith Rowe
Kwaiyo mkuu wewe unawacheka arse8 wenzako???Hehehehehe mind you,Arsenal this season hashiriki michango ya ulaya still katika 2 games ana points 0 na hajafunga goli hata 1 hehehehehehehe
May be time will come and the team will start to win but in no way that will mean Arteta is a fine coach for a club like arsenal.Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
Kiongozi tangia last season tumepayuka sana humu jukwaani Arsenal kwa kocha huyu na wachezaji hawa hawa bila kumfukuza Arteta na kupata kocha bora wa kiwango cha dunia na kusajili Big players(nasisitiza Big players) Arsenal kuna siku itashuka Daraja,wengine wakasema sisi Mamluki, mfano unampaje Smith Row jezi namba 10Kwaiyo mkuu wewe unawacheka arse8 wenzako???

ukiaminisha kuwa ana majukumu ya kuibeba Arsenal seriously?wametajwa kina Madisson mara kibao unaenda kumbeba Odeegard ambaye Real Madrid hata namba hapati?nani kaangalia Bissouma alivyocheza jana?jamaa kajipendekeza sana Arsenal lakini wapi!unaendaje kutoa hela ndefu kwa Ben White wakati una Saliba anazurura kwa mkopo na Arsenal alitoa hela ndefu kumnunua?fine unalipaje hela ndefu kwa Ramsdale kuwa kipa wa akiba?
,wajanja tuliona Edu,Kroenke na Arteta(anayejifanza mdogo wake Pep)kuna janga kubwa wanataka kulileta Arsenal, Aaron akasepa zake Manchester City 

Dully hata hajulikani alipo kapiga kimya,nikaona PSG si ipo na wapo serious tatizo lipo wapi mimi kuhama Arsenal fasta ,naingia humu kuwajulia hali ndugu zangu next Saturday ni Manchester City (Grealish,Sterling, Mahrez)jamani jamani jamani acha niishie hapa