Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnacheza soka zuri ila ugonjwa ni mkifika muda wa kushambulua hampo shapu aise.
 
😂

132438892_210317960633856_2835102067881533255_n.jpg
 
Ushakula viwili na unaweza ukaongezwa second half na Manchester City atakutia aibu jumamosi watu tunataka furaha hatutaki stress ni kama una demu anakupa stress ya nini kumnganania unamtupa kule mbali unaopoa mwingine
duuh
mbona kama maneno ya vibarazani
 
Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
 
Back
Top Bottom