Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Kazi ipo leo hatuna mipango kabisaAya msije mkakimbia kambi yenu baada ya kufungwa goli 3 bado goli 1
Jameeeees![]()
Kazi ipo leo hatuna mipango kabisaAya msije mkakimbia kambi yenu baada ya kufungwa goli 3 bado goli 1
Jameeeees![]()
Bado unandoto za 2-1
Team PSG !tukiongea facts tunaambiwa sisi Mamluki haya wengine tunakuja humu kuwajulia hali zenu tu muda huu tushacheza janaMhhh ngoja tuangalie Mpira!Team PSG!heee la 2 hilooooooo narudia mpaka August 28 hili jukwaa litabaki na shabiki 1 wa Arsenal wengi watapotea humu!nliandika last week inahitaji uwe na degree ya Mirembe kuamini tutanfunga Chelsea na Manchester City after kupigwa na Brentford
Team PSG !tukiongea facts tunaambiwa sisi Mamluki haya wengine tunakuja humu kuwajulia hali zenu tu muda huu tushacheza jana
Ameshakuwa mbwa tena mkombizi wenuarteta ni mbwa kabisa
Maombi yangu kwa Arsenal usiku na mchana ni kushuka darajaAmeshakuwa mbwa tena mkombizi wenu
Tukiongea facts tunaitwa Mamluki yangu macho mieeeee nshahamia PSG muda tu huku nakuja kuwajulia hali die hard fans wa Arsenal hehehehehe
we kweli mamlukiTeam PSG !tukiongea facts tunaambiwa sisi Mamluki haya wengine tunakuja humu kuwajulia hali zenu tu muda huu tushacheza jana
mkombozi wa nani?Ameshakuwa mbwa tena mkombizi wenu
Maombi yangu kwa Arsenal usiku na mchana ni kushuka daraja


sasa unataka mashabiki wa arsenal washabikie timu gani kama timu yao ukishuka darajaWa arse8mkombozi wa nani?
sihijui timu hiyoWa arse8
Ushakula viwili na unaweza ukaongezwa second half na Manchester City atakutia aibu jumamosi watu tunataka furaha hatutaki stress ni kama una demu anakupa stress ya nini kumnganania unamtupa kule mbali unaopoa mwinginewe kweli mamluki