Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

May be time will come and the team will start to win but in no way that will mean Arteta is a fine coach for a club like arsenal.

Kuna baadhi ya makosa yanakuwa hayana way out, wewe fikiria tu. Jamaa amekuja kama kocha and within no time eti amekuwa Manager, alarm bell ikaanza kulia pale pale.

How in hell would you let someone like Guendouzi leave and instead sign Lukonga?? Tunaangalia vitu gani haswa huwa?? Hahaahah

Mkuu ninyi mtamlaumu Arteta tu. Anzeni na wachezaji wenu. Arteta hawezi pata ushindi na hawa watoto mnaowasajili ovyo ovyo. Then upate matokeo Epl eti Rowe anategemewa afunge chelsea au mansity na kapewa namba 10 ivi ni kweli?

Arsenal mnadhalilisha hizi jezi zenu. Mtu kama Lokonga eti anapewa majukumu mazito ya kucheza mido kweli acheni utani. Mnamuonea Arteta tu. Tena nawaambia hata mkimpata kocha mzuri kiasi gani na mkaendelea na hawa wachezaji wenu mtesa tu hatuna kocha
 
Wenga kaacha falsafa ya ovyo sana.......full ubahili kwenye kusajili
 
Bado hamhami tu eehh
E8tBAeIWUAQzr--.jpg
 
Sisi Chelsea tunawaonea huruma Sana ndugu zetu wa london asenane

Tatizo lenu sio kocha wala wachezaji Bali ni STAN KROENKE.

huyu jamaa sio soccer fan ni mfanyabiashara tu yeye analennga faida tu

Kwa staili hio hatochukua EPL Wala champions league miaka 10 ijayo landa carabao au FA

Anzeni na STAN Kwanza
 
Juzi nilisema Arsenal kuanza kushinda consistently ni kuanzia mwezi wa tisa. Matokeo hayajanishtua
Hehehe sasa inashiriki EPL ili iweje?3 months ago die hard fans mlisema kuwa hatuna Europe competition so top 4 ni lazima je Arsenal akianza kushinda September (na huo uhakika pia haupo)lengo la timu ni nini
 
Tafuta sehemu niliyosema kua kukosa europe comp kutatupa nafasi ya nne.

Na bado sijasema Arsenal itashika nafasi ya nne.

Unlike you, hua naconsider vitu vingi kabla sijajudge.
 
Willian kalike page ya chelseafc iliyopostiwa goal 2 tulioshinda dhidi yenu vip una naoni gani kwenye Hili?
Si niliwahi kuwaambia Arsenal hana uhasama na chelsea ila ana uhasama na spurs? Nikawaambia pia ndiyo maana ni ngumu sana mchezaji kutoka Arsenal - spurs au spurs - Arsenal (ingawa imeshatokea) kuliko chelsea - Arsenal au Arsenal - chelsea.

So kama kalike nafikiri worst thing ni kuonekana unproffesional nothing more.
 
Maneno ya kocha wako kasema tulijaribu kushindana nao ila walituzidi kwasababu Wana world players na ni mabingwa wa ulaya. Kama kocha wako kakiri hiv nyinyi kwanini mnamdomo kama chuchunge
 
Maneno ya kocha wako kasema tulijaribu kushindana nao ila walituzidi kwasababu Wana world players na ni mabingwa wa ulaya. Kama kocha wako kakiri hiv nyinyi kwanini mnamdomo kama chuchunge
Hziyech22 itakua umeruka pages nyingi so haujaona nilichoandika.

Chelsea haishindi kwakua ina world class players. Inashinda kwa sababu ina morali na inacheza as a unit. Wachezaji mlionao jana ndiyo walikuepo kipindi cha Lampard kipindi cha suluhu, walikuepo Arsenal alivyoshinda mara ya kwanza na ya pili na ya tatu, walikuepo wakati West bromwich anaifunga chelsea 5.

Kwa mechi za jana tu kuna timu nyingi zina world class players na zimesuluhu, juzi zipo zilizofungwa. Kwa maoni yangu morali na timu nzima kua in a fluid movement ndiyo kinapelekea ushindi. Arsenal kwa sasa haipo hivyo, lakini ni ngumu kocha kukiri timu yake haina morali.
 
Back
Top Bottom