Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Six years and counting, Emirates ina nuksi itabidi tuchunguze labda ilijengwa juu ya makaburi. Bundi karudi nyumbani rasmi!!

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!

Nyani haoni................................
 
Sina HAMU! HAwa madogo tuliwashinda home and away kwenye barclays sasa wanatusumbua hapa?
 
Dah haya kombe limetuchomoka hili . Defence imetocost. Poleni washika bunduki wenzangu

Ngoja nikapate serengeti larger uswazi

...NOOOOOO WAYYYYY!

Defence kazi yao kulinda mashambulizi. Wamefanuya kazi kubwa sana leo.
Kule mbele kulikuwa hakuna Creativity yeyote! ARSHAVIN, ROSICKY, ....hata alipoingia BENDTNER NA CHAMAKH hakuna la maana lililofanyika.
Ushindi wa mpira ni magoli man,...

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, You can't even win a Mickey Mouse cup at Emirates!!!!

Damn Right Bro, hakuna la kujitetea hapa.
Big Up Brummies, Big Up Alex MacLeish...
 
e bana wee! ARSHAVIN na ROSICKY waliposajiliwa walikuwa wazuri sana bro, ....Uzuri wao umeishia wapi?
TOTAL CRAP PLAYERS THESE TWO BASTARDS FROM EASTERN EUROPE....


Taratibu mkuu, don't be a bit racist. It's just a game!
 
The gooners gooned by Birmingham! Oops sorry I meant the gunners gunned down by Birmingham City!
 
nimekula laki moja mda si mrefu....tuliwekana na jamaa yangu hapa....yey ni aseno ...na nilimwambia kuwa mnapigwa mbili moja...
 
hehehe mlianza kuzungumzia quadruple tangu october... Anyhow poleni watani ndio mpira huo...sasa angalieni msikumbwe na domino effect yake.
 
Ninafuraha na ninaamini wale Orient na barca watadumisha furaha

Endelea kuamini....Unacheza na Man u soon...tatizo huwa Ukifungwa Unakimbia...huonekani kabisa katika hili Jukwaa la michezo....Nilidhani Furaha yako ni ushindi kwa Chelsea....Kumbe????? Inamaana Nyie Chelsea hamkushiriki kwenye haya mashindano?? kama yes Mliishia wapi????? Angalia mgongoni kwako kuna nzi.....usiucheke wa mwenzio....
 
Inauma sana AW na hasa ukitilia maanani kwamba tulikuwa na nafasi nyingi za kuwa mbele hata kwa goli mbili zaidi au tatu. Inauma sana.


Kama uko fair utaona kwamba hata Birmngham walikuwa na nafasi ya kuwatangulia Arsenal mapema kabisa, that's football poleni. Jaribuni kurudi Highbury, hapo Emirates kuna nuksi.....lol
 
ARSENAL mkiambiwa hamjui mpira na experience hamna bado mnalalamika,wachezaji utoto utoto mwingi.....imekula kwenu hiyo.......hahahahah
 
Back
Top Bottom