Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
heheh mkuu nilishawahi kuzima tv wakati wa mechi yetu ya ucl 2008... Alafu nyie washabiki wa arsenal kiboko timu nyingine ikishiriki carling cup mnasema ni 'worthless cup' ila leo mko final mnajidai mna amnesia.Hahahahaha! Lakini hata akizima TV haibadili kitu uwanjani. Labda ajaribu pia kukaa mbali na JF kama Wacha kila Arsenal wakicheza.