Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...dear, dear, dear arsenal....!!!
wtf is happening??? Anyway,...

together we stand, for better and for worse.
 
kweli nimeamini hakuna msiba usio na mweziwe... kule loserful tumechapwa, naona na watani nao hata kombe la kinesi limeota mbawa

poleni na msife moyo, bado matatu

dah!!! Van Pussie kakosa kombe
 
iT IS ALL OVER,
DAMNNNNNNN!"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Miye nimeishiwa nguvu kabisa!...Duh! Ndiyo matatizo ya kutosajili wacheza wazuri maana pengo la wachezaji wawili tu linaleta matatizo makubwa kuliko inavyostahili. Poleni sana wana GUNNERS wenzangu.

 
heheh mtani ni banter tu...
Peasant wakati terry anakwenda kupiga penalty mzee nikaona isiwe shida nikazima tv nikasubiri dakikka tatu nikawasha tena.


Hahahahaha!! hata mimi siku ile nilitamani ningezima TV wakati Terry anateleza pale, lakini it was too late.
 
Dah haya kombe limetuchomoka hili . Defence imetocost. Poleni washika bunduki wenzangu

Ngoja nikapate serengeti larger uswazi
 
...dear, dear, dear arsenal....!!!
wtf is happening??? Anyway,...

together we stand, for better and for worse.


Nilikwambia yule bundi anarudi nyumbani Emirates stadium, hamjachukua kombe hapo Emirates.....hahahahahahahahahaha!!!!
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, You can't even win a Mickey Mouse cup at Emirates!!!!
 
Miye nimeishiwa nguvu kabisa!...Duh! Ndiyo matatizo ya kutosajili wacheza wazuri maana pengo la wachezaji wawili tu linaleta matatizo makubwa kuliko inavyostahili. Poleni sana wana GUNNERS wenzangu.


e bana wee! ARSHAVIN na ROSICKY waliposajiliwa walikuwa wazuri sana bro, ....Uzuri wao umeishia wapi?
TOTAL CRAP PLAYERS THESE TWO BASTARDS FROM EASTERN EUROPE....
 
wacha1.... leo zamu yako ndugu yangu, cheklo lako tu

Khe khe kheeeeeeeeee khekeheeee eheheheeeeeeeeeeeeee...

poleni and its just one out of four
 
I hope wachezaji wetu hawatokata tamaa, kazi yote waliofanya kwenda kufungwa goli la kizembe vile inauma sana.
 
Ndio matatizo ya kusajili wachezaji wavivu kujifunza lugha! lol! BTW poleni sana wakuu! i feel for you mannn! to me you desreved to win this BUT unlucky!
 
Six years and counting, Emirates ina nuksi itabidi tuchunguze labda ilijengwa juu ya makaburi. Bundi karudi nyumbani rasmi!!

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
 
I hope wachezaji wetu hawatokata tamaa, kazi yote waliofanya kwenda kufungwa goli la kizembe vile inauma sana.

Inauma sana AW na hasa ukitilia maanani kwamba tulikuwa na nafasi nyingi za kuwa mbele hata kwa goli mbili zaidi au tatu. Inauma sana.
 
Hiki ndo huku kwetu uswahilini tunaita KIMAVI.......Yaani sisi Arsenal na Makombe Imekua NDOTO....This was my only Hope....But hope Boyz will get back and keep Fighting......Inauma sana...Ila hakuna BanFa....Usiku mwema.....I need to sleep though am not sure if i can...............
 
Back
Top Bottom