Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matokeo ya mwisho YAMEMALIZIA kitendawili changu. Ngoja nianze pitia comments za ndg zangu nyie ambao hata kombe TULILOWAACHIA na kimsingi lenye HADHI yenu mmeshindwa kulinyakua.

Mkuu ulijificha utasema timu yako ndio inacheza? lol
 
Niko powaa mkuu. simchezo bado ma 3 tumebakisha , nyie mangapi? lol

Nashukuru kusikia uko powaa manake ulinitisha kidogo.
Sisi tumebakisha mawili mkuu. Lakini angalia kuna jamaa katoa angalizo zuri hapo juu kwamba hii mechi inaweza kuwa na domino effect, hivyo sitashangaa kusikia Leyton Orient wakiwa wanalamba midomo kwa hamu sana huko waliko.
 
to be honest i was praying for brummies victory...sasa ngoja niende twitter nikamtafute jack wilshire na sczeny maana walimsema sana ashley cole

Sijaingia twitter kipindi kidogo, walisema nini hao jamaa?
 
Nashukuru kusikia uko powaa manake ulinitisha kidogo.
Sisi tumebakisha mawili mkuu. Lakini angalia kuna jamaa katoa angalizo zuri hapo juu kwamba hii mechi inaweza kuwa na domino effect, hivyo sitashangaa kusikia Leyton Orient wakiwa wanalamba midomo kwa hamu sana huko waliko.

I hope hatutafikisha miaka 50 kama nyie lol.
 
Poleni kwa kichapo, na kwa herini....ooops! mpeni pole na yule coward Wacha, mwambieni akumbuke kupaste picha za The Sun hapa, au kule kwenye jukwaa lake la Arsenal- New Trophyless Era at the Emirates.
 
Uzuri wake sie tupo hapa nyumbani kwenye msiba wetu, sio kama nyie mnavyosusia mahiti yenu kila siku lol.

Kweli kabisa Mkuu siye huwa hatukimbii kijiwe chetu hata kama tumepigwa tundu tutaliwazana hapa hapa kijiweni kwa namna moja au nyingine siyo kama wale wenzetu huyakimbia majukwaa yao hata kwa wiki nzima.
 
Hiyo miak 50 sio inacount only for first division/EPL na sio vikombe vingine, hapa tunaongelea miaka 6 ya bila kikombe hata mbuzi.

Umepata nafasi ya kuchonga sana leo Mkuu...usilikimbie jamvi tu kesho kutwa na kusingizia uko busy kulijenga Taifa la Tanzania.

Kweli kabisa Mkuu siye huwa hatukimbii kijiwe chetu hata kama tumepigwa tundu tutaliwazana hapa hapa kijiweni kwa namna moja au nyingine siyo kama wale wenzetu huyakimbia majukwaa yao hata kwa wiki nzima.

ha ha ha haaaaaaaaaa,wanaume kweli wako Arsenal.....kuna mzee mmoja hata mechi haijaisha ashaenda kulala kukwepa vijembe!!! sisi tupo hapahapa.....tushinde tushindwe,ARSENAL hapa ndo nyumbani!!
 
Arsenal has lost for the second time this year and once competitively. Its a good day kwa wanoko wa Chelsick waliingojea hii siku kuanzia 27th December tulipowakung'uta pale Emirates. Wao waliyaaga mashindano haya long time chijui wamefungwa mara ngapi mwaka huu.

We've still to pickup ourselves for the next games. RVP injury does not look good ... ... .....
 
asiyekubali kushindwa si mshindani..bahati haikuwa yetu..hongera Birmingham na hasa GK wao
 
Back
Top Bottom