Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...Pheeeeeeeewww!...

Pamoja we stand wakuu Arsene Wenger, BAK, Questt, et al...!
was fun dakika zote 88 tulipokuwa na matumaini ya ushindi...
We will be back...!

Belo, Peasant, Eqlypz, et al...
Your wish is granted. Uwanja ni wenu kupiga madongo sasa...
Oooh, BTW..."It was only a Mickey Mouse Cup",...ha ha!

Usiku mwema!
 
Kuwafunga Barcelona basi mkatangaza kabisa mnachukua vikombe vyombe bullshit,kwa mpira gani bana wa kuchukua vikombe....mtakaa mnacheza mpira wa fashion lakini hamlambi kitu......
 
Hiki ndo huku kwetu uswahilini tunaita KIMAVI.......Yaani sisi Arsenal na Makombe Imekua NDOTO....This was my only Hope....But hope Boyz will get back and keep Fighting......Inauma sana...Ila hakuna BanFa....Usiku mwema.....I need to sleep though am not sure if i can...............

Ni kweli Emirates kuna kimavi, mbona mlipokuwa Highbury mambo yalikuwa pouuwaa?!!
 
Koscienly nimemsamehe kutokana na kujituma leo , ajifunze kutoka kwenye kosa lake lile goko nomaaa.

Mkuu yule angeweza kuokoa ule mpira sema alishaona mtu wake kawa pale na akasema akiweka mguu atamuumiza but sio mbaya next time atajifunza na ndio mpira ulivyo.....
 
...Pheeeeeeeewww!...

Pamoja we stand wakuu Arsene Wenger, BAK, Questt, et al...!
was fun dakika zote 88 tulipokuwa na matumaini ya ushindi...
We will be back...!

Belo, Peasant, Eqlypz, et al...
Your wish is granted. Uwanja ni wenu kupiga madongo sasa...
Oooh, BTW..."It was only a Mickey Mouse Cup",...ha ha!

Usiku mwema!
to be honest i was praying for brummies victory...sasa ngoja niende twitter nikamtafute jack wilshire na sczeny maana walimsema sana ashley cole
 
...Pheeeeeeeewww!...

Pamoja we stand wakuu Arsene Wenger, BAK, Questt, et al...!
was fun dakika zote 88 tulipokuwa na matumaini ya ushindi...
We will be back...!

Belo, Peasant, Eqlypz, et al...
Your wish is granted. Uwanja ni wenu kupiga madongo sasa...
Oooh, BTW..."It was only a Mickey Mouse Cup",...ha ha!

Usiku mwema!

Hahahahahahah! Ahsante kwa kuniliwaza Mkuu. Kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi...we still have 3 more chances to go. Kama alivyosema Mrembo Michelle VIVA ARSENAL! VIVA!

Cheers.
 
Oba_1260612a.jpg
 
Jamani huku umeme umekatika tujulisheni matokeo wadanganyika wenzenu kama tunavyopeana info zingine za peeeplez power.
 
Leo SABABU ninayo, NIA ninayo na SHAUKU ninayo sanaaaaaa ya kuona Arsenal wanatakata pale Wembley....Lakiniiiii......!................(naomba nije kumalizia kitendawili hiki badae).

Wasalaam watani....!

Matokeo ya mwisho YAMEMALIZIA kitendawili changu. Ngoja nianze pitia comments za ndg zangu nyie ambao hata kombe TULILOWAACHIA na kimsingi lenye HADHI yenu mmeshindwa kulinyakua.
 
Back
Top Bottom