Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vp kuhusu timu kubwa ambayo hata haishiriki hiyo conference?
Ezekiel Arsenal haijashiriki mashindano ya Ulaya msimu huu tu tangu 1900 huko.

Liva haijashiriki michuano ya ulaya almost mara 6.

Chelsea mwaka juzi tu hapo ilishika nafasi ya 8.

Hizi glitches hua zinatokea. Naelewa kwamba wewe kwa level yako hayo niliyoandika huwezi kuyajua.
 
Ezekiel Arsenal haijashiriki mashindano ya Ulaya msimu huu tu tangu 1900 huko.

Liva haijashiriki michuano ya ulaya almost mara 6.

Chelsea mwaka juzi tu hapo ilishika nafasi ya 8.

Hizi glitches hua zinatokea. Naelewa kwamba wewe kwa level yako hayo niliyoandika huwezi kuyajua.
Tuachane na mambo ya miaka hiyo Nyerere bado rais, vp ww ambaye hushiriki ligi yoyote ya nje tofauti na hii uliyoliwa wiki iliyopita.?
 
Breaking news ni kwamba TT hatokuwepo uwanjani mana kuwa sehemu moja na dogo arteta n kumuaibisha TT
Unajifurahisha tu hapa.

Arsenal kaipiga chelsea kocha lampard mkaja kusema eti sasa kaja tuchel sasa na mkapigwa tena.

Yeye tuchel tangu juzi jumatano alisema atalala hapo uwanjani mpaka siku ya mechi wewe mnyakyusa upo huko Mwambene unasema hataki kua uwanjani.
 
Washika manati leo nimewabetia, chonde musichane mkeka.
Nasafilia miujiza yenu, leo ushindi kama kawaida.
 
Ukiona kitu ukikifikiria kichwani kinamake sense basi jua Arsenal hawatokifanya.

Una shida na kipa.

Unajiandaa kutumia 30M kumnunua Ramsdale.

Wakati kuna Mat Ryan na Onana unaweza kuwanunua wote kwa 7M. Ryan ameshatudakia msimu uliopita na ni kipa mzuri kusema kweli.

Lakini vinabo wanataka kutumia 30M kisa ati 'home grown'.

Unataka kumnunua Maddison kwa 65M.

Lakini Aouar ana asking price ya 25M na Odegaard ana asking price ya 35M na hapo odegaard unaweza kumnasa kwa mkopo. Kuna Renato ana asking price ya 23M.

Yaani kwa chini ya 70M unaweza kumpata Aouar, Renato na Odegaard.

Ukabakiwa na pesa ya kutafuta RB au kusubiri kiangazi na kipindi hichi kumpa namba Cedric na Bellerin.

Lakini Edu na genge lake hawafikirii hivi. Chochote ambacho wewe unaona mbona hii option inaokoa pesa na unapata ziada wao hiyo option ndiyo hata hawaiwazi.

Badala yake wako bize kuficha udhaifu wa uongozi wao kwa kutweet 'Trust the process' na kujisnap IG usiku wa manane wakidai wako bize na usajili.

Sijui kwamba ni hakuna pesa na hapa inapigwa kanyamazongo au vipi lakini kuna shida kubwa sana kuanzia kwa mmiliki mpaka yule bwana anayependa kumpa namba Chambers
Tuwe na subra ndugu
 
Washika manati leo nimewabetia, chonde musichane mkeka.
Nasafilia miujiza yenu, leo ushindi kama kawaida.
Kitoabu Arsenal ina majeruhi wengi na wagonjwa wa corona.

Nafikiri Arsenal itaanza kua na uhakika wa kushinda kuanzia mwezi wa tisa mwanzoni.

Kipindi hichi ni kipindi cha kubebwa na historia.
 
Back
Top Bottom