Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

timu inabalaa la hatari
IMG-20210817-WA0003.jpg
 
Usajili news:

1629296855466.png

Arsenal wamsajili Martin Odegaard moja kwa moja kwa pauni milioni 30 za mwanzo.

Bado Arsenal watatakiwa kulipa marupurupu na fedha za ziada au bonus.

Odegaard tayari amewasili London kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake yaani Medical.

Wakati huohuo, Arsenal bado wanazungumza na Sheffield United juu ya kusajili kipa Aaron Ramsdale ambae atawagharibu kiasi cha pauni milioni 25 hivi.

Barcelona bado wanayo nia ya kumsajili Aubameyang.

Taarifa zaidi kukujia.
 
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Mungu akupe afya njema, inshallah.
 
Sio kwa msimu huu, labda misimu mitano mbele.
Odegaard tayari amewasili London na kwa kuwa ana chanjo zote mbili hatakiwi kuwa karantini.

Hivyo huenda akacheza jumapili dhidi ya Chelsea.

Arsenal inapewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hiyo pamoja na ile na Manchester City.

Ila lolote laweza kutokea.
 
Ukiona kitu ukikifikiria kichwani kinamake sense basi jua Arsenal hawatokifanya.

Una shida na kipa.

Unajiandaa kutumia 30M kumnunua Ramsdale.

Wakati kuna Mat Ryan na Onana unaweza kuwanunua wote kwa 7M. Ryan ameshatudakia msimu uliopita na ni kipa mzuri kusema kweli.

Lakini vinabo wanataka kutumia 30M kisa ati 'home grown'.

Unataka kumnunua Maddison kwa 65M.

Lakini Aouar ana asking price ya 25M na Odegaard ana asking price ya 35M na hapo odegaard unaweza kumnasa kwa mkopo. Kuna Renato ana asking price ya 23M.

Yaani kwa chini ya 70M unaweza kumpata Aouar, Renato na Odegaard.

Ukabakiwa na pesa ya kutafuta RB au kusubiri kiangazi na kipindi hichi kumpa namba Cedric na Bellerin.

Lakini Edu na genge lake hawafikirii hivi. Chochote ambacho wewe unaona mbona hii option inaokoa pesa na unapata ziada wao hiyo option ndiyo hata hawaiwazi.

Badala yake wako bize kuficha udhaifu wa uongozi wao kwa kutweet 'Trust the process' na kujisnap IG usiku wa manane wakidai wako bize na usajili.

Sijui kwamba ni hakuna pesa na hapa inapigwa kanyamazongo au vipi lakini kuna shida kubwa sana kuanzia kwa mmiliki mpaka yule bwana anayependa kumpa namba Chambers
 
Edu na Arteta ni vijana sana kwenye suala la uongozi, hivyo nao wana mambo yao ya kujidai wanafahamu kila kitu.

Na hivyo mwenye timu Stan Kroenke kawaamini basi wamevimba vichwa.

Ila za chinichini zasema Antonio Conte anaandaliwa na Arteta amepewa mechi 13 tu.
 
Antonio Conte hawezi kuja Arsenal.

Spurs walishindwana kwakua waliambiwa watoe pesa ndefu ya usajili na wanatakiwa kuhakikisha wanashinda kombe lolote soon.

Na Conte alishasema kwamba hawezi kukaa hoteli ya hadhi ya elfu kumi huku mfukoni ana shilingia mia.
 
Timu ya Arsenal imekosa leadership na nidhamu.

Nyuma ya pazia kuna mengi hayasemwi yanatokea.

Auba na Laca hawakuwa wanaumwa mechi na Brentford.

Antonio Conte ni "no-nonsense manager" ndie atawaweza wachezaji wa Arsenal ambapo pia ni legelege.

Conte akienda Arsenal itacheza kama Inter au alipokuwa Chelsea na Auba na Laca watacheza kama Lukaku watake wasitake.
 
Afu mbona Arteta anakuwa na mabifu sana na wachezaji kuna tatizo.
 
Arteta ana mapungufu katika mtindo wake wa kuongoza yaani leadership skills.

Watakiwa kuwa na uwezo wa utawala wa timu nzima, dressing room na beyond.

Yaitwa team management and man management.

Arteta anakwaruzana na baadhi ya wachezaji kwani hawafuati game plan.

Solution, si kuwaweka bench bali ni kuendelea kuwaelekeza kwa uvumilivu na kuhakikisha wanakukubali wewe ndiye manager.

Kinyume na hapo, ndo twashuhudia kinachoendelea.
 
Wazee Kuna uwezekano wa Onana na Ramsdale wote kusajiliwa Arsenal.
 
Back
Top Bottom