NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,997
- 3,517
Mamaester utd mke wangu mpendwa.Mbona una lalamika kama umekalia chupa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umekua ukinipa points 4 kwa misimu mitatu sasa.
Mwaka huu sina budi kuchukua points 6 zote kama nilivochukua kwa mke mwenzio mkubwa(cheltako) msimu uliopita.
Mwaka huu hupati hata pointi moja kipenzi.
[emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app