Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Hiyo ni kwa current window, hiyo ndio mada iliyopo mezaniHiyo if vipi hapo?
Regardless bado sioni mantiki hapa.
Utd, city, chelsea na villa ni spenders kwa muda mkubwa hii inamaanisha wao kikosi chao kilishakua sawa for ages at one point hizi timu zimespend just kumleta mtu na asipate namba au kwavile wameamua.
Utd kwa Ighalo, Donny, Amad, Telles, na yule dogo mwingine. City mabeki wake waliocheza na spurs wanazidi kiasi ilichotumia Arsenal dirisha hili. Mabeki wa city wana thamani ya 219M.
So hao waliopo hapo hawana magepu yatakayowafosi watumie pesa nyingi. Exception ni City wanaotaka kumnunua Kane kwa 150M that deal get finalised City anakua wa kwanza as usual.
Hata ukizungumzia kwa madirisha, say past 3 to 5 windows, Bado Arsenal ame spend kuliko Leicester, Harmers, spurs lakini kiwango uwanjani haki reflect matumizi yake sokoni
Kwa hiyo bado kuna tatizo sehemu


.