Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ndiyo nilimaanisha hivyo mzee

kwa unavyoona sahivi Arsenal inaelekea kumsajili nani?
Ripota wa Arsenal tangu aseme Arsenal imepeleka ofa kwaajili ya Maddison hajasema kama kuna mtu mpya kafuatwa. Na hata hivyo dili la Maddison sidhani kama litakamilika, kwa timu yenye shida na mchezaji tungejua wapi tulipo.

Mmiliki katapeli alivyosema anaahidi makubwa dirisha la usajili. Edu naye anazidi kusema mashabiki wamhukumu dirisha likifungwa sasa hivi tuvumiliane.

Kwa kuangalia yanayoendelea naona Odegaard ana chansi kubwa ya kuja kuliko Maddison
 
ila matatizo yetu ni makubwa sana Odegard tuu haitoshi labda aje yeye tupate na kocha mpya huyu Arteta anatuzingua tuu
 
Odegaard ni loan with an obligation to buy, means Arsenal wataspend somewhere else.
 
Haya mambo yanachanganya mzee.

Wazia hapa;

Jirani spurs alimchukua Mourinho (kocha mzoefu makombe na ameongoza timu nyingi) kipigo kilichotembea wakampiga chini. Wameongozwa na msaidizi mpaka Nuno alipokuja.

RB Leipzig wametamba wakiwa na Nagelsmann huku Nagelsmann akiwa hana uzoefu wa kutisha zaidi ya kua kocha msaidizi wa Tuchel.

Zidane kaipokea Madrid akiwa katoka timu ya watoto na akafanya vyema mno.

Shida ya Arteta hajafanikiwa kuwafanya wachezaji wafie uwanjani kwaajili yake. Wachezaji wachache ni world class ila kwa walew waliopo siyo kuona sahihi ukifungwa na Brentford.
 
kuna sehemu nimeona Arteta kapanga kwenda na 4-3-3 ila sasa Xhaka doesnt fit into that, unasemaje kuhusu hilo au ndio tutamzomea tena rafiki yako?
Hiyo formation inataka mawinga wenye speed na skills za kuwachomoka full backs.

Naona ni risk. Tuirudie 3 5 2.

Akifosi kuicheza 4 3 3 itabidi iwe 4 2 1 3, Xhaka akae na mtu hapo kati. Mbele yao akae AM
 
Odegaard ni loan with an obligation to buy, means Arsenal wataspend somewhere else.
Renato Sanches, Odegaard, Lokonga na Emile wakicheza kwa pamoja timu itakua inatembea sana na mpira kwenda mbele.

Mi kinachonichekesha ni tulipoambiwa hili dirisha la usajili kuna moto utawaka halafu wakikumbushwa wanasema tusubiri dirisha lifungwe ndiyo tuwajudge
 
Tumefelishwa na kutokupata option A anazopendekeza kocha kama Locatelli, huyu mtu ameniuma sio siri, ngoja tuone kwa wengine.

Current squad doesnt fit his system, labda afanye kufix kama kipindi cha Cup alienda na 3 4 3 mpira ulikuwa mkubwa sana,

Market haiwataki wachezaji wetu, unaingizaje wapya kama waliopo hawauziki? Xhaka Roma wamegoma kutoa £20m, je vipi kuhusu hawa kina Niles, Bellerin, soares?
 
Ila mi naona Locatelli hana ukali wa kusema ukimkosa roho ikuume. Kama kweli shida ni nafasi waliopo wagawe kwa mkopo hiyo ndiyo option inayokua imebaki.

Xhaka hata Arsenal ilitaka abaki.

Ila waliopo wanabana nafasi mbona Willock kaondoka na hakuna ingizo jipya? Kolasinac anaondoka/ ameondoka, hakuna ingizo jipya.

Arteta anajihami mno. Weka fullback Tierney na Tavarez au Tavarez na Soares acha wakimbize watu pembeni anamng'ang'ania Chambers. Yaani jamaa anafanya uchaguzi wa kikosi akiwa amelenga kudefend
 
Milango 3 ndio nani?huoni kama dunia nzima inailaumu Arsenal mpaka Rais wa Rwanda?ina maana mtu akitoa maoni ni against Arsenal hata kama ni Arsenal?
Mkuu, lakini wewe siulitangaza kuhama hii timu?
Tena mpaka jersey ya PSG ulituambia ushainunua?
Kiufupi wewe kwa sasa sio shabiki tena wa Arsenal, labda uwe shabiki maandazi tu.
 
Naona umekomaa kuniita mjinga tangu juzi unahisi upo sahihi au siyo?
Mkuu, huyo jamaa yenu kesha pagawa, nibora umpotezee tu.
Mtu keshatangaza kuihama timu, wanini tena huyo?
Aende PSG kule lazima atanyanyua kwapa tu.
 
Haya mambo yanachanganya mzee.

Wazia hapa;

Jirani spurs alimchukua Mourinho (kocha mzoefu makombe na ameongoza timu nyingi) kipigo kilichotembea wakampiga chini. Wameongozwa na msaidizi mpaka Nuno alipokuja.

RB Leipzig wametamba wakiwa na Nagelsmann huku Nagelsmann akiwa hana uzoefu wa kutisha zaidi ya kua kocha msaidizi wa Tuchel.

Zidane kaipokea Madrid akiwa katoka timu ya watoto na akafanya vyema mno.

Shida ya Arteta hajafanikiwa kuwafanya wachezaji wafie uwanjani kwaajili yake. Wachezaji wachache ni world class ila kwa walew waliopo siyo kuona sahihi ukifungwa na Brentford.
tumemvumilia vya kutosha mzee hatuoni hata dalili za kifanikiwa
 
Kinachosababisha mimi nione siyo sawa kumfukuza kocha nafikiri ni kwavile ni shabiki ambaye nimemuona kocha mmoja kwa muda mrefu.

Nimemuona akifeli, akifaulu, akipindua meza, akifanya late drama kwenye mechi so nimekua naona kubadili makocha siyo dawa. Ndiyo maana watu walivyokazana kusema Emery aondoke nikawa naona apewe muda.
 
Back
Top Bottom