Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron Ramsdale kashashusha timu mbili daraja

Alianza na AFC Bonamouth (2019/20) then Shefield United (2020/21) na sasa Arsenali (2021/22)
 
Kuna discussion ya SkySports youtube kuhusu combined 11 ya Chelsea na Arsenal. Poor Arsenal hakuna hata mchezaji mmoja anayeingia kwenye hiyo combined labda kwa kupendelea ni Bukayo Saka na Tierney tu

Mfano mjadala ulijikita kwenye kati ya Silva na Ben White nanai aingie nafasi ya CB

Sasa Arsenal waweke ushabiki pembeni waseme ni nani anaweza kuingia kwenye combined 11 ya kesho

Strong line up yetu hii hapa

Werner ------------- Lukaku ---------------------- Mount

Chillwell -------- Jorginho ----- Kante -------- James

Rudiger ----------------Silva -------------------Azpilicueta

Mendy

Tuanze na Mendy nani kati ya makipa wenu wa kumuweka benchi Mendy?
Rudiger je
Silva je
Azpilicueta je
Kante je
Jorginho je
Chilwell je\James je
Lukaku je
Werner je
Mount je

Hata tukiweka team B bado wachezaji wengi wa Arsenal watakosa namba
 
Mmeshika nafasi ya pili kwa kufungwa magoli machache, 36. Arsenal imeshika nafasi ya tatu, magoli 39.

Keep in mind chelsea ilikua inabadili makipa.

Arsenal ST, Auba/ Laca wana magoli mengi kuliko Werner, Tammy & Giroud (Sold) na werner amecheza mechi zote tangu amefika. Unlike Auba na Laca. Werner is useless kiasi kwamba Kai ndiye ST siku hizi na mashabiki mnasema Werner ni mkali kwakua anatoa assissts.

Katika mid yenu ni nani ameingia kikosi cha msimu? Sisi xhaka kaingia.

Tumewafunga chelsea wakiwa na kikosi hichi hichi mara mbili chini ya makocha wawili tofauti. Aliyeongezeka ni Lukaku sina uhakika kama Pullisic na Lukaku watacheza leo. Even if they will kwangu pullisic ni hatari kuliko lukaku as lukaku ana power finnishing ila poor control unlike pullisic ambaye ni skilled na control kubwa.

So bring it on. Hizi mambo za wamesema combined nini haifanyi nini is utter bullshit, chelsea iko kwenye morali na hiki ndicho cha msingi kwenye timu. Morali na kucheza as a unit so technical wise chelsea anatakiwa kushinda but so were previous meetings.
 
Hizi habari za kujipa matumaini hizi Leo Lukaku anaanza na anachangia ushindi ktk magoli mawili...hizo zote ulizosema kuhusu Lukaku sio kweli huyo unayemdiscribe n WA unyumbuni Mzee sahv kaimprove
 
Nilichoandika sijakitoa kichwani na sifanyi mipasho hapa
 
Mzee wa kuwakera, angalia watakuchongea kwa mods upigwe Ban la maisha.
Nyie matakataka bado mumelala?? Muna raha gani wakati Leo mnapokea kipigo kingine tena?

Kuweni serious amkeni muanze kuomboleza nyie matakataka..
 
Hawa takataka hawana uvumilivu kabisa kidogo tu wanakimbilia polisi, wanasahau kuwa huwa wanakuja kujamba na kuharisha kwenye uzi wetu pedwa na wala hutukimbili popote pale.

Sasa subiri leo tuwapeleke moto mpaka wakomae.
Chief hv na we hawa raia si walisababisha ukala ban ?
 
Mmeshika nafasi ya pili kwa kufungwa magoli machache, 36. Arsenal imeshika nafasi ya tatu, magoli 39.

Keep in mind chelsea ilikua inabadili makipa.

Arsenal ST, Auba/ Laca wana magoli mengi kuliko Werner, Tammy & Giroud (Sold) na werner amecheza mechi zote tangu amefika. Unlike Auba na Laca. Werner is useless kiasi kwamba Kai ndiye ST siku hizi na mashabiki mnasema Werner ni mkali kwakua anatoa assissts.

Katika mid yenu ni nani ameingia kikosi cha msimu? Sisi xhaka kaingia.

Tumewafunga chelsea wakiwa na kikosi hichi hichi mara mbili chini ya makocha wawili tofauti. Aliyeongezeka ni Lukaku sina uhakika kama Pullisic na Lukaku watacheza leo. Even if they will kwangu pullisic ni hatari kuliko lukaku as lukaku ana power finnishing ila poor control unlike pullisic ambaye ni skilled na control kubwa.

So bring it on. Hizi mambo za wamesema combined nini haifanyi nini is utter bullshit, chelsea iko kwenye morali na hiki ndicho cha msingi kwenye timu. Morali na kucheza as a unit so technical wise chelsea anatakiwa kushinda but so were previous meetings.
Where is Aubangi?
Where is Lagazeti?
Arse8 pale hamna timu pamoaj na kutumia mil 120+ kuwanunua akina white, Sambi Lukonga huyo na Nuno bado sioni timu pale nawaona kikundi cha watoto wa mtaani tu wanaojiita Arsenal
 
Sasa kwa namna uliyoanza kuandika inakua ngumu kidogo mimi na wewe kukaa meza moja.
 
Back
Top Bottom