Hapa niga unapakuliwa weweArsenal tunawapakua leo
Hapa niga unapakuliwa weweArsenal tunawapakua leo
Mshaanza kupata mchecheto mpk kuandika shidaHapa niga unapakuliwa wewe



Leo anarudi na ndoto yake ya kuwapa arsenal uefaHv agenti wetu willian bado yupo.? Alipishana na magari mawili ya mshahara ucl na super cup

Jamaa alimaanisha uefa ya mbao nyie mkadhani ni hii uefa ya wanaume waliyobebaLeo anarudi na ndoto yake ya kuwapa arsenal uefa![]()
Ukiangalia uandishi na hoja wanazozitoa mashabiki na Chlsea wanaotembelea Thread ya Arsenal, utagundua kuwa Chelsea ina supporters wengi ambao ni ma-idiots. 'Sasa kwa namna uliyoanza kuandika inakua ngumu kidogo mimi na wewe kukaa meza moja.
Haujui kusoma nini?Mshaanza kupata mchecheto mpk kuandika shida![]()
We unaonaje?Haujui kusoma nini?
Kablu ndiyo nini braza?Bila kusahau Chelsea ndio kablu yenye mafanikio hapo epl toka mliposhinda kombe la ligi ezi hata wengine hawajazaliwa
Mi naona nimeleta posa mnajifanya kuipingaWe unaonaje?
point tatu zinabaki EmiratesHivi kwa kikosi hiki tutatoka kweli!!!!!