Hizi mechi huwa zinanishinda mkuu, mipigo ya moyo ilikuwa inakwenda mbio sana lol.
Angalia usiji-Omondi mkuu!! It's just a game, take it easy!
simchezo kweli fainali fainali tu haijalishi kombe gani lol.
Hizi mechi huwa zinanishinda mkuu, mipigo ya moyo ilikuwa inakwenda mbio sana lol.
Nipo nasubiri goli la 2 kutoka kwa kijana wenu Larsson au Bowyer![]()
...Ooooppssss!, Belo tumemuacha wapi???
Mkuu bado Taifa la Tanzania linakuhitaji...ukiona moyo unaenda mbio sana ni bora kuzima TV au kuondoka kwa dakika chache. Nakumbuka mimi enzi zile za Michael Jordan & Da Bulls nilikuwa na tatizo hilo sana hasa zile za dakika za mwisho kwenye zile mechi kali sana dhidi ya New York Knicks, Phoenix Suns (Barkley & Co), Utah Jazz, Detroit Pistons, LA Lakers n.k. Nilikuwa ama nazima TV au naondoka kwa dkk chache na hii ilisaidia sana katika kupunguza mapigo ya moyo.... Huku kupenda nako mhhhhhhh!....ni hatari sana.
Hahahahaha! Lakini hata akizima TV haibadili kitu uwanjani. Labda ajaribu pia kukaa mbali na JF kama Wacha kila Arsenal wakicheza.
Ahsante, naona kibendera kawatoa leo!
Nipo nasubiri goli la 2 kutoka kwa kijana wenu Larsson au Bowyer
Hahahahaha! Lakini hata akizima TV haibadili kitu uwanjani. Labda ajaribu pia kukaa mbali na JF kama Wacha kila Arsenal wakicheza.