Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mhhhh! Mchezo umeshakuwa mgumu huu....

images

..relax bro, Arsenal Pros needs Wake Up Calls kila game these days.
fingers crossed ...(without Fabregas!)..
 
whaaaaaaaaaaaaaaaaaat????
what about that!!!!

robin van persieeeeeee!!!
 
nani kama van persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Vipi tena Mkuu usitafute kibano kirahisi kiasi hicho...tunakuhitaji kwenye kijiwe chetu....goli safi sana ila nina wasiwasi kama VP ataweza kuendelea.
 
I hope ajaumia ,itakuwa nuksiii huyu mtu mashine.

Zaidi ya Machine......jamaa ni nouma......tena zaidi ya Nouma....ni Mubaya....Anatisha na atatisha......Goti ndo limezingua....Hawa wetu...Na gari ndo lishawaka.....Kudadadeki.....
 
Vipi tena Mkuu usitafute kibano kirahisi kiasi hicho...tunakuhitaji kwenye kijiwe chetu....goli safi sana ila nina wasiwasi kama VP ataweza kuendelea.

....HA HA HA! nami niliona duuuhhh, Ban hiyoooo...thx God ka edit haraka haraka!
 
Mkuu mzuka tu ule ndio maana nimewahi ku-edit nomaaaaa.


...ha ha ha, si mchezo baba'ke....naamini wakuu walielewa.
PAMOJA WE STAND!

...tuendeleze libeneke.
Huyu Arshavin ana nini? mbona absent minded sana siku hiz?
 
...pheeeeww! Ni burudani tosha Goal from Van Persie na ushangiliaji wa Arsene Wenger "Jnr"...
time ya kunywa kahawa sasa..ha ha ha!
 
Back
Top Bottom