Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maisha yanaenda kasi sana yaan mwez wa 8 mwaka jana kwenye hilihili jukwaa tuliambiwa Partey ndo anakuja kukatamzizi wa fitna leo napita hapa Partey yuleyule anaonekana c chochote c lolote??
Mkuu nisaidie kishangaa, nikisema washabiki wa Aseno hawana tofauti na wafuasi wa uvccm natukanwa, kuna tofsuti gani hapo???

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
KWANI ARSENANE WENYEWE WANASEMAJE?
20210507_001730.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakati una mlaumu Arteta,kumbuka Chelsea sio wenzako msimu umeanza wekampa Lampard pound mil 200,sisi Arteta tulimpa kiasi gani,zaidi ya kununua wachezaji wa mafungu (Sagulasagula).

Chelsea walimfukuza Lampard sababu alikuwa ana stahili kufukuzwa,pamoja na kupewa kila kitu ila yy alishindwa kudeliver,so tatizo sio Arteta tatizo ni huyo Kroenke na ubahili wake.Arsenal hata ukimfukuza Arteta bado matokeo yata kuwa ni yaleyale sababu usajili tunafanya kiubahili,mpe mtu hela hata akishindwa tuna sababu ya kumfukuza la sivyo tukiendelea hivi tutakuwa watu wa kufukuza makocha kila siku wakati tatizo wamiliki ni wabahili.
Kwani kroenke aligoma kulipa mishahara ya ozil??

Such a world class player with unbelievable talent unashindwa kumtumia mnaingia kwenye migogoro na mtu wa aina yake halafu kutwa kumshushia lawama tajiri.

Arteta na edu wake ni wahuni na washenzi tu. Sasa huyo arteta wenu Leo ndio anam-defend huyo kroenke mnaemlalamikia
 
Mkuu nisaidie kishangaa, nikisema washabiki wa Aseno hawana tofauti na wafuasi wa uvccm natukanwa, kuna tofsuti gani hapo???

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nashauri jukwaa hili walibadili liwe hata la madalali wa nyumba maana hamna timu humu na mashabiki wake wanakwambia mwekezaji ni mchungu wkt Auba anavuta mpunga wa kutosha tu .....nawashauri waje anfield waone watu wachungu/wachumi wanafananaje
 
Huwezi fananisha Arsenal na Leicester au West Ham hazifanani,kwenye kila kitu sababu kiuchumi Arsenal ipo vizuri kuliko hizo timu so hao Leicester / Weat Ham wamesajili kutoka na uwezo wao pamoja na kufanya vizuri,ila hawana mwendelezo hao unaweza ukawaona wapo top 4 ila wakakaa misimu mingine mitano au zaidi usiwaone.

Kwa uchumi alikuwa nao Arsenal hatakiwi kuwa mtu wa kubahatisha kama West Ham au Leicester kama ikitokea basi bahati mbaya kama ilivyo kwa Liver au hata Man Utd .

Sisi tunatakiwa tu-spend kama ilivyo kwa Man City,Chelsea,Utd,Liver na Spurs sababu mapato ya club yetu ni makubwa yana ruhusu huwezi kutufananisha na Leicester au West Ham hatufanani.

Arteta mtampa lawama kwani hata akija mwengine kama tuta endelea na ubahili tutamfuza tu,wakati tatizo lipo kwa wamiliki.

Unataka mambo makubwa halafu hela unayo iweka ni ndogo wakati hela unayo,unategemea bahati kweli kwenye mpira kuna bahati ila % ni ndogo approximately = 0.

Ratiba ya leo ya mashabiki.
View attachment 1775754
Ndugu,

computerarsenal alikuuliza swali jepesi tu umekuja na mloloooongo wa majibu tena hayahusiani na swali lake.

Hebu jibuni maswali. Tuliyemtukana kwamba hajui kiingereza na anampendelea Guendouzi alitupeleka fainali. Leo juu ya kuwa arteta tulimuongezea Partey na Pablo Mari na Cedric na takataka nyengine kibao katufikisha hapa why tusimlaumu arteta??

Yaani nashangaa tajiri analumiwaje hapa??
 
Lawama anabeba yeye nyingi sana mfano Last week dhidi ya Villareal alianza bila mshambuliaji utamlamu kroenke au Arteta?ok fine kwenye ishu ya red cards utamlaumu Kroenke au Arteta?tangia Wenger aondoke tumemsajili Pepe,Gabriel,Mari,Thomas,Tierney,Leno na wote hao wanachezea timu zao za Taifa sasa tunataka usajili gani?na nlikuuliza hilo swali sababu hao wachezaji nliowataja ni wana viwango bora sana toka huko walipotoka but baada ya kuja Arsenal nini kimefuatia?
Nawashangaa sana hawa jamaa
 
Kocha anatumia formation ambayo tangu nianze kushabikia Arsenal haijawahi kutumiwa na yeye ndiye kaanza nayo leo siku ambayo anataka ushindi.

Say hello to 4 1 4 1
Na hapa tumlaumu kroenke mkuu.

Ndio aliemwambia kocha afanye hivyo
 
Eti nini??? Kucheza timu ya taifa ya Uruguay au Germany haimaanishi kama una kiwango Bora???

I am off...
Ina maana France alivyo chukua kombe la dunia ina maana wachezaji wote walikuwa bora including Giroud? Vip Ureno na Euro nayo wachezaji wote walikuwa bora?

Tuzungumzie kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na si wengine kujificha kwenye uwezo wa wachezaji wengine halafu tuseme bora.
 
Maisha yanaenda kasi sana yaan mwez wa 8 mwaka jana kwenye hilihili jukwaa tuliambiwa Partey ndo anakuja kukatamzizi wa fitna leo napita hapa Partey yuleyule anaonekana c chochote c lolote??
Aliekwambia alikudanganyeni mkuu😀😀😀😀

Mtafuteni awarudishie hela zenu za bundle
 
Huyo huyo unaye taka kumtimua ndiye aliyekupa FA na ukafanikiwa kupata chance ya kucheza Europa.

Halafu kwenye list uliowataja mchezaji mmoja Partey wengine ilikiwa mwendo wa Trial and error (aka Sagulasagula).
 
Unai Emery has proved that Arsenal is owned and managed by a bunch of idiots, they sacked him and he eliminated them from Europa
Hapo managed hapo ndio penyewe.

Yule mshenzi Edu alikwenda Marekani kumtilia Unai fitna ili aletwe arteta. Unai deserved to be given more time. Sasa kwa kuwa wanampelekesha arteta wanavyotaka tama timu ilipofikishwa mbona hawamfukuzi??
 
Ina maana France alivyo chukua kombe la dunia ina maana wachezaji wote walikuwa bora including Giroud? Vip Ureno na Euro nayo wachezaji wote walikuwa bora?

Tuzungumzie kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na si wengine kujificha kwenye uwezo wa wachezaji wengine halafu tuseme bora.
Leno, Torreira, Partey, Auba, Tierney, Gabriel Magalhaes, Saka, Martinelli, Odergaad, Ozil, hawa ni baadhi ya wachezji ambao angekuwa nao Brenden Rodgers angekuwa anapigania kuchkua EPL tena asubuhi na mapema.

Kubalini Arteta hana uwezo wa kufundisha na ku-manage timu kama arsenal.

Ancelotti na wachezji wale wa Everton tu na ametuzidi kwa mbali mnataka mumtupie lawama tajiri??
 
Back
Top Bottom