Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
These clear chances zinamkosa Laca
Ubora ktk level ipi kaka? Pili haya hao unao waita bora wakiumia kuna akina nani mbadala? Leno aliumia tukampanga yule dogo matokeo yake tukala nne,huku akiruhusu goli la kizembe alilo fungwa na Mahrez,Tierney nae huyo aliumia mbadala wake nani?Huko walipotoka mbona walikuwa wana ubora?Torreira Pepe Gabriel Tierney Xhaka Leno Partey hao wote huko walipotoka walikuwa bora sana why wamekuja kufia viwango vyao Arsenal?
These clear chances zinamkosa Laca
HahahaHii sio timu ndugu zangu. Ila Kronke poa tu yote maisha, Duniani tunapita tu
Nalala mi nishachoka
Narudia kukwambia ukiachana na Kroenke Arteta ametumwa kuja kuikandamiza Arsenal kiuthamani na mambo yote yale miaka 26 Arsenal haijawah kukosa nafasi ya kucheza michuano ya ulaya ila kwa Arteta tunaendelea kuhesabu dkUbora ktk level ipi kaka? Pili haya hao unao waita bora wakiumia kuna akina nani mbadala? Leno aliumia tukampanga yule dogo matokeo yake tukala nne,huku akiruhusu goli la kizembe alilo fungwa na Mahrez,Tierney nae huyo aliumia mbadala wake nani?
Kama Kroenke hasipo acha ubahili tukitumia mawazo yako sisi kila siku tutakuwa tunawapa lawama makocha na kuwatimua ambacho mimi sikubaliani nacho.
Kombe gani la asenoAcha mikwara yako.
Kombe la Arsenal