Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Report from an impeccable source has it, Nketiah, Luiz, AMN and Konstantinos will be sold this summer, no word has been said about Guendouzi maybe Arteta plans to use him.
 
Wakati lampard anafukuzwa Chelsea utaona ni jinsi gani Big teams zisipopata matokeo hazisiti kuchukua hatua ngumu ili kunusuru club but Arsenal mpaka sasa nashangaa Arteta bado unasema ana plan ya kumtumia Guendouz,Chelsea huyu mbovu leo anaingia championsleagueFinal sababu ni moja tu KOCHA ni mzuri na wachezaji aliokuwa nao Lampard na wakawa hawapati matokeo kwa Tuchel wameingia final nilitegemea kuona huu ndio mwisho wake msimu huu sababu hana uwezo wa kuimanage Arsenal kwa mtindo huu acha tuhamie Manchester City tuondoe stress kama Arteta msimu huu nafasi atakayomaliza kubwa ni ya 8 unategemea tutaingia top 4 next season?kwa wachezaji hawa ?kocha huyu?misimu miwili mfululizo top 6 hajafika hyo top 4 atafikaje?Fuc**** Arsenal
 
Arsenal predicted XI vs Villarreal - Leno; Bellerin, Holding, Gabriel, Xhaka; Partey, Elneny; Saka, Smith Rowe, Pepe; Aubameyang.
 
Wale wahenga burudika na hii kitu wakati unasubiria mechi.
Salute Pierre Akendengue, one of my favorites, pale ninapokuwa kwenye extremes - huzuni au furaha
 
Arteta has been advised to play Tierney at the left back instead of Xhaka. Xhaka should play as a defensive midfielder, Pepe, Saka, ESR attacking midfielder and Auba perfect nine. Also cautioned that he should not hesitate to make early changes if his formation does not work
 
Sielewi watu wanaokuja hapa na kuamua ya kwamba hii game kwa Arsenal ni finito. Turudi nyuma kidogo, msimu huu huu huko huko Europa tulianza na matokeo ya kushtua kama haya.

Rennes alitufunga 3:1 tukawa na goli 1 tu la away wakaja Emirates, kilichotokea mnakijua.

Tukakutana na Olympiacos. Msimu uliopita aliyetutoa mashindanoni ni Olympiacos tulimfunga 1:0 kwake akaja kutufunga 2:1 Emirates. Msimu huu ikawa ni kurevenge tukampiga first leg na second leg akatufunga 1:0 tukasonga mbele.

Tukakutana na Slavia. First leg tukatoka 1:1 second leg Slavia akaoga mvua safi ndiyo tumekutana na Villarreal.

Villarreal katufunga 2:1. Ni ukweli tumecheza mpira mbovu, refa alikua miyeyusho, kocha hajafanya management vizuri ila 2:1 siyo matokeo mabaya kama timu itakua serious.

Mimi nasema bado tuna nafasi ya kusonga mbele. Pepe kasema "Tukutane London" Arteta kasema "Bado tumo kwenye hii game" akaulizwa una uhakika mtapindua meza akajibu "WE ARE ARSENAL"

Wiki ijayo siyo mbali.
Mkuu leo hakuna bahati tena., mnakalia, munatoka

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Matchday VS Villarreal.

Hii second leg, first leg tumepoteza 2-1 VAR ilitunyima penati kipindi cha kwanza tukapata penati kipindi cha pili ikatupa goli moja. Kimahesabu ya mpira Arsenal ina nafasi ya kusonga mbele. Ushindi wa 1-0 unatosha kuipitisha Arsenal lakini tuje kwenye uhalisia.

Unai Emery ameongoza timu zake kufikia hatua ya mtoano mara 21. Na ameshinda mara zote 21, yaani ni kwamba kihistoria Arteta ana nafasi ndogo ya kuibuka mshindi mbele ya Emery. Pia Emery ameacha misimamo yake ya kusema bora awe na forward kali ila beki dhaifu. Villarreal inakaba kwa pamoja kuizidi Arsenal.

Siku hizi mpira wa La Liga umekua wa kasi, mbinu na nguvu. Tofauti na zamani, na Arsenal yetu inacheza sana mpira wa kutafuta nafasi badala ya kulazimisha nafasi. Kwahiyo sisi utakuta Partey anampa pasi Saka, Saka anarudisha kwa Partey, Partey anaurudisha nyuma kwa Chambers, Chambers kwa Holding, Holding kwa Partey tena. Yaani tunapiga sana pasi za nyuma na za pembeni. Hatuna one two za kwenda mbele kushinda na hiki ndiyo kinatunyima ushindi mara nyingi, hatuchezi kama vile tunataka kushambulia.

Kilichotufungisha game ya kwanza tatizo la ukabaji zaidi na hii imetokana na Villar kucheza kwa speed na kwa pamoja. Defense iliruhusu through balls nyingi na Chukwueze na Foyth walimtesa sana Dani, Xhaka alijitahidi kukaba ila hakua mzuri kuanzisha mashambulizi sawasawa na Chambers kule kulia. Forwards zilikua zinaogopa kupiga mashuti mpaka alipoingia Aubameyang akapiga shuti moja.

Kwa alichosema Arteta juu ya uwezo wa Martinell Xhaka akiwa beki nafikiri hata leo Xhaka atawekwa LB tena, na mechi ya juzi na Newcastle naona alimuweka Elneny ili kuona itakuaje akipangwa na Partey. Hivyo nafikiri leo Elneny ataanza.

Tunahitaji mchezaji wa kukimbizana na Chukwueze na Foyth. Kwakua Tierney ni mgonjwa ni sahihi zaidi akianza Cedric.

Msimu huu tuna forwards wawili ambao ni hatari kwa wapinzani, Auba na Pepe, kisha tuna Martinell ambaye ni mwiba kiukweli, halafu kuna Saka, Emile na Martin.

Mimi naona wawekwe Pepe LW, Auba CF, Martin/ Emile AM na Saka RW. Kipindi cha pili mapema tu Pepe arudi RW, Saka ampishe Martinell ambaye ataenda kua CF na Auba arudi kua LW. Martin na Emile watapishana.

Hii game itatuonyesha tulipofikia na itaamua hatima ya mambo mengi kama vile timu kuuzwa na Arteta kubaki.

Tukutane baadaye.
 
Kila kocha ameishamsoma mwenzake, anaingia uwanjani kwa kukamia, Nina hakika villareal watatumia dakika 30 za kwanza kutafuta goli, it is during this moment tunawapiga mbili za haraka haraka. To be safe lazima tuwapige tatu, kwa sababu wakipata away goal, shughuli itakuwa ngumu.
 
Jamani wana Arsenal, tunapokutana sisi wana Arsenal hapa jukwaani tuna kuwa kama ndugu, achilia wale wengine ambao kwa heshima ya andiko hili, I wouldn’t like to call them names.

It is about two or three months ago we have lost our colleagues; I mean two staunch Arsenal supporters who were always here sharing with us ups and downs of our team. To be specific I mean AaronArsenal and Dully jr, Bahati mbaya tunapokuwa hapa we hide our identities.
Kwa mapenzi ya timu waliyokuwa nayo, Definitely, they are in distress in one way or another, hakuna
sehemu Tanzania utakaa ukakosa access ya internet, hata ya edge??? Ingekuwa enzi zile za brigade ya DAB bado ina exist I would have worried. Nakumbuka niliwahi kufanya biashara na Aaron, unfortunately siku-save namba yake
Naomba nijitwishe jukumu, on behalf of JF Arsenal, tunawaombea kila la heri huko mlipo. Kama mnatapata muda wa kusoma hii post,tuna wamiss sana.
We believe Arsenal will bounce back, and we shall see you again, Amen
 
Sidhani kama matokeo ya timu ndiyo yamesababisha.

Ila kama ni hivyo ni kutokana na kutojiandaa na ukweli. Ile siku ya usajili wa Partey ilikua imetoa sura mbili ya kinachofuatia. Bahati mbaya wengi wakasubiria sura moja tu ya ushindi.

Leo pia wengi wanaamini kwenda final ni 80% which is not true considering rekodi ya Unai katika knockout stage ilivyo na mpira wa Villarreal ulivyoevolve, defense yetu na namna yetu ya kuattack.
 
Jamani wana Arsenal, tunapokutana sisi wana Arsenal hapa jukwaani tuna kuwa kama ndugu, achilia wale wengine ambao kwa heshima ya andiko hili, I wouldn’t like to call them names.

It is about two or three months ago we have lost our colleagues; I mean two staunch Arsenal supporters who were always here sharing with us ups and downs of our team. To be specific I mean AaronArsenal and Dully jr, Bahati mbaya tunapokuwa hapa we hide our identities.
Kwa mapenzi ya timu waliyokuwa nayo, Definitely, they are in distress in one way or another, hakuna
sehemu Tanzania utakaa ukakosa access ya internet, hata ya edge??? Ingekuwa enzi zile za brigade ya DAB bado ina exist I would have worried. Nakumbuka niliwahi kufanya biashara na Aaron, unfortunately siku-save namba yake
Naomba nijitwishe jukumu, on behalf of JF Arsenal, tunawaombea kila la heri huko mlipo. Kama mnatapata muda wa kusoma hii post,tuna wamiss sana.
We believe Arsenal will bounce back, and we shall see you again, Amen
Dully Jr huwa unakuja kwa kuvizia. Aaroon mkishinda mechi mbili mfululizo utamuona anakuja na habari za top four

Leo kazeni miguu muingie fainali na Man u. Binafsi nitakuwa upande wenu
 
Huu uzi unatakiwa kushushwa huko chin ..

Mods hizi timu zinazocheza Europa ,hazitakiwa ku pin nyuzi zao huku juu kwa wanaume was CL ..

Hii timu inatakiwa kushuka chini huko
 
Wakati una mlaumu Arteta,kumbuka Chelsea sio wenzako msimu umeanza wekampa Lampard pound mil 200,sisi Arteta tulimpa kiasi gani,zaidi ya kununua wachezaji wa mafungu (Sagulasagula).

Chelsea walimfukuza Lampard sababu alikuwa ana stahili kufukuzwa,pamoja na kupewa kila kitu ila yy alishindwa kudeliver,so tatizo sio Arteta tatizo ni huyo Kroenke na ubahili wake.Arsenal hata ukimfukuza Arteta bado matokeo yata kuwa ni yaleyale sababu usajili tunafanya kiubahili,mpe mtu hela hata akishindwa tuna sababu ya kumfukuza la sivyo tukiendelea hivi tutakuwa watu wa kufukuza makocha kila siku wakati tatizo wamiliki ni wabahili.

Back
Top Bottom