Huwezi fananisha Arsenal na Leicester au West Ham hazifanani,kwenye kila kitu sababu kiuchumi Arsenal ipo vizuri kuliko hizo timu so hao Leicester / Weat Ham wamesajili kutoka na uwezo wao pamoja na kufanya vizuri,ila hawana mwendelezo hao unaweza ukawaona wapo top 4 ila wakakaa misimu mingine mitano au zaidi usiwaone.
Kwa uchumi alikuwa nao Arsenal hatakiwi kuwa mtu wa kubahatisha kama West Ham au Leicester kama ikitokea basi bahati mbaya kama ilivyo kwa Liver au hata Man Utd .
Sisi tunatakiwa tu-spend kama ilivyo kwa Man City,Chelsea,Utd,Liver na Spurs sababu mapato ya club yetu ni makubwa yana ruhusu huwezi kutufananisha na Leicester au West Ham hatufanani.
Arteta mtampa lawama kwani hata akija mwengine kama tuta endelea na ubahili tutamfuza tu,wakati tatizo lipo kwa wamiliki.
Unataka mambo makubwa halafu hela unayo iweka ni ndogo wakati hela unayo,unategemea bahati kweli kwenye mpira kuna bahati ila % ni ndogo approximately = 0.
Ratiba ya leo ya mashabiki.
View attachment 1775754