Wakati lampard anafukuzwa Chelsea utaona ni jinsi gani Big teams zisipopata matokeo hazisiti kuchukua hatua ngumu ili kunusuru club but Arsenal mpaka sasa nashangaa Arteta bado unasema ana plan ya kumtumia Guendouz,Chelsea huyu mbovu leo anaingia championsleagueFinal sababu ni moja tu KOCHA ni mzuri na wachezaji aliokuwa nao Lampard na wakawa hawapati matokeo kwa Tuchel wameingia final


nilitegemea kuona huu ndio mwisho wake msimu huu sababu hana uwezo wa kuimanage Arsenal kwa mtindo huu acha tuhamie Manchester City tuondoe stress kama Arteta msimu huu nafasi atakayomaliza kubwa ni ya 8 unategemea tutaingia top 4 next season?kwa wachezaji hawa ?kocha huyu?misimu miwili mfululizo top 6 hajafika hyo top 4 atafikaje?Fuc**** Arsenal