Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1st goal. Elneny
1619974304551.gif
 
Kweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.

Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Oya nyie matakataka msituangushe, UEFA zote zije London..

Sisi Kaka zenu tunamaliza mchezo leo ..fainal tushaingia kitambo.

Sasa nyie madogo mnajishika shika Sana kazeni kalio izo mbebe Europa.
Nyie cheltaqo mnawashwa Sana kwenu kunaenda kuungua hata hamuon
 
Oya nyie matakataka msituangushe, UEFA zote zije London..

Sisi Kaka zenu tunamaliza mchezo leo ..fainal tushaingia kitambo.

Sasa nyie madogo mnajishika shika Sana kazeni kalio izo mbebe Europa.

Huo uwezo wanao sasa

Hawa walishajifia kitambo tu
 
Back
Top Bottom