Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na game iliyopita mchezaji wa Villarreal alianguka kama hivi.

Anyway, kama Chukwueze anatoka kwakweli atoke tu.
 
Lawama anabeba yeye nyingi sana mfano Last week dhidi ya Villareal alianza bila mshambuliaji utamlamu kroenke au Arteta?ok fine kwenye ishu ya red cards utamlaumu Kroenke au Arteta?tangia Wenger aondoke tumemsajili Pepe,Gabriel,Mari,Thomas,Tierney,Leno na wote hao wanachezea timu zao za Taifa sasa tunataka usajili gani?na nlikuuliza hilo swali sababu hao wachezaji nliowataja ni wana viwango bora sana toka huko walipotoka but baada ya kuja Arsenal nini kimefuatia?
Kucheza timu ya taifa sio kwamba wana kiwango bora bali ndio machaguo walio nayo kwa mda huo na hawana jinsi timu ya taifa sio club.
 
Nimesema hao wanachezea timu za taifa ambazo duniani zipo top 50 hvyo sio wachezaji wa kitoto
Kuwa top 50 si kigezo je ukiwapima mmoja mmoja wana ubora,manake unacho maanisha sababu Ufaransa walichukua kombe la dunia basi timu nzima wachezaji wote ni bora including Giroud,Ureno imechukua Euro mwaka juzi haimanishi wachezaji wote ni bora.
 
Always posting shits
Another shit
20210506_225447.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakati lampard anafukuzwa Chelsea utaona ni jinsi gani Big teams zisipopata matokeo hazisiti kuchukua hatua ngumu ili kunusuru club but Arsenal mpaka sasa nashangaa Arteta bado unasema ana plan ya kumtumia Guendouz,Chelsea huyu mbovu leo anaingia championsleagueFinal sababu ni moja tu KOCHA ni mzuri na wachezaji aliokuwa nao Lampard na wakawa hawapati matokeo kwa Tuchel wameingia final nilitegemea kuona huu ndio mwisho wake msimu huu sababu hana uwezo wa kuimanage Arsenal kwa mtindo huu acha tuhamie Manchester City tuondoe stress kama Arteta msimu huu nafasi atakayomaliza kubwa ni ya 8 unategemea tutaingia top 4 next season?kwa wachezaji hawa ?kocha huyu?misimu miwili mfululizo top 6 hajafika hyo top 4 atafikaje?Fuc**** Arsenal
Well said, mkuu una akili kubwa sana..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa top 50 si kigezo je ukiwapima mmoja mmoja wana ubora,manake unacho maanisha sababu Ufaransa walichukua kombe la dunia basi timu nzima wachezaji wote ni bora including Giroud,Ureno imechukua Euro haimanishi wachezaji wote ni bora.
Huko walipotoka mbona walikuwa wana ubora?Torreira Pepe Gabriel Tierney Xhaka Leno Partey hao wote huko walipotoka walikuwa bora sana why wamekuja kufia viwango vyao Arsenal?
 
Back
Top Bottom